Serikali iache kuchezea pesa za walipa kodi, Pesa za uchaguzi Serikali za Mitaa zirudishwe hazina mara moja

Uchaguzi huu wa serkali za mitaa ndio kaburi la upinzani ,tulia utaona

State agent
How kaburi mkuu!? Uchangiaji wako unaongeza chuki kwa serikali, endapo unalipwa kwa kazi hii im sorry mkuu hukustahili.
 
Ww
Hapa Kazi tu, tutawaburuza hata kwa Kamba. Maendeleo hayana chama, wakati Vasco Da Gama anavumbua dunia mlikuwa kimya, wakati Che Nkapa anauza mashirika ya umma na kufilisi nchi mlikuwa kimya.
Ww ni mnufaika wa hii awamu, bila shaka utakuwa unatokea kanda bongoman
 
Back
Top Bottom