SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,251
Bado haikuondoi kuwa wewe ni mpuuzi na limbukeni...sasa badala ya kuattack hoja unajipendekeza kuwa Unajua wakati ukweli ni kuwa wewe Unapotosha.Hujaelewa na hujui ulichokiandika. Ulichokifanya Ni kuleta hisia zako na kuendelea kuifananisha Tanzania na nchi nyingine wakati Ni level tofauti!
Huo mtazamo hapo juu ndio upotoshaji wenyewe.Nchi za wenzetu mathalani US viwango vyao vya uadilifu havitilii Shaka Kama vya nchi zinazoendelea.
Nitarudia, tena kwaavile unadai sijui...basi weka huo uthibitisho uondoe uwalakin uliopo. Ni hivi======== niwekee Jasusi yeyote yule aliyewahi fanya kazi kati ya taasisi hizo za nje, na kuvunja sheria akiwa kazini na akafunguliwa mashitaka ya jinai aweke hapa. TUSIDANGANYANE na uharakati uchwara.==============Isitoshe uweke hiko kipengele kinachodai hayo!Askari yoyote au afisa usalama anapofanya makosa hasa ya kijinai lazima akumbane na mkono wa sheria
Unataka kumdanganya nani hapa?? Ati sheria zao hazilindi viongozi wao! BS. Ufungaji wao wa Sheri sio wa kulinda viongozi Bali kulinda nchi na wananchi wake.
Lengo kuu ni Kuhakiksha Usalama wa Maafisa, Utii na kulinda usalama wa Taarifa, wewe na malimvukeni wenzako mnadai na kupotosha ati inaenda kuwalinda Viongozi! B.S
Unapotosha hapo na unaanza kuunga unga....nimeomba huko juu....niwekee hata kesi moja ya Jasusi aliye kazini na akahukumiwa au kushitakiwa na kesi ya jinai au madai....isitoshe weka hiko kipengele unachodai kwenye bluu hapo juu! Zaidi ya hapo ni upotoshaji tu.Muswada huu Ni mahususi kuwalinda watawala na wale wanaofanya kazi chini yao. Kwamba afisa usalama akiua, akiiba akibaka au akifanya tukio lolote asikumbane na mkono wa Sheria iwe za kiraia au za kijeshi wewe unaona sawa.?
Nakubaliana na hayo hapo kuhusu watunga sheria, na hiyo ni kweli katika nchi yeyote ile, hata huko mnapopaita 'Kumeendelea'Uzuri Ni kwamba watunga Sheria hizi hudhani kwamba wao watabaki kwenye reign milele, zinapokuja kuwagusa wanakua wakwanza kulia Lia!