Serikali, hiki mnachokifanya hakikubaliki!

Serikali, hiki mnachokifanya hakikubaliki!

Haiko mkinga, niite majina yote lakini nilichokisema ndicho na ni hakika.

Hata mjipange kwa makumi yenu hakuna hata moja mnaloweza kufanya zaidi ya kutesa na kuua. Sasa mnatafuta kinga dhidi ya jinai mlizofanya na mnazoendelea kufanya.

Usichokijua ni kwamba nerves hucolapse na mwili pale inapofikia tamati. Hata mpitishe sheria ya ccm mmoja apige kura tatu hakuna kitakachowaokoa.

Harakati zangu uchwara zinanituma kukuambia wewe na wanaokulipa kuwa anguko halipo mbali maana mshaanza maandalizi kwa kufanya upuuzi hadharani
Niruhusu kukujibu bila ya kukujibu. Nawasubirini
 
Wabongo mkuu!!!

Over my dead body...

Wabongo ni waoga hakuna...

Labda hizo harakati zifanywe kwa kwa kutumia dini, wenzetu waislamu si waoga.
Waislam ndiyo wahanga wakuu kwa hao usalama wa taifa ushuzi.
 
Bado haikuondoi kuwa wewe ni mpuuzi na limbukeni...sasa badala ya kuattack hoja unajipendekeza kuwa Unajua wakati ukweli ni kuwa wewe Unapotosha.

Huo mtazamo hapo juu ndio upotoshaji wenyewe.

Nitarudia, tena kwaavile unadai sijui...basi weka huo uthibitisho uondoe uwalakin uliopo. Ni hivi======== niwekee Jasusi yeyote yule aliyewahi fanya kazi kati ya taasisi hizo za nje, na kuvunja sheria akiwa kazini na akafunguliwa mashitaka ya jinai aweke hapa. TUSIDANGANYANE na uharakati uchwara.==============Isitoshe uweke hiko kipengele kinachodai hayo!

Unataka kumdanganya nani hapa?? Ati sheria zao hazilindi viongozi wao! BS

Lengo kuu ni Kuhakiksha Usalama wa Maafisa, Utii na kulinda usalama wa Taarifa, wewe na malimvukeni wenzako mnadai na kupotosha ati inaenda kuwalinda Viongozi! B.S

Unapotosha hapo na unaanza kuunga unga....nimeomba huko juu....niwekee hata kesi moja ya Jasusi aliye kazini na akahukumiwa au kushitakiwa na kesi ya jinai au madai....isitoshe weka hiko kipengele unachodai kwenye bluu hapo juu! Zaidi ya hapo ni upotoshaji tu.

Nakubaliana na hayo hapo kuhusu watunga sheria, na hiyo ni kweli katika nchi yeyote ile, hata huko mnapopaita 'Kumeendelea'
Huko kwa wenzetu umesikia majasusi wao wanasimamia chama fulani kukaa madarakani kwa shuruti? Unatolea mfano usioendana na uhalisia wa hapa kwetu? Huko kwenye hizi nchi mpaka rais anaweza kushitakiwa, sasa hapa kwetu mpaka naibu spika ana kinga ya kutoshtakiwa. Huoni kama unajimix?
 
After all unamwekeaje kinga mtu ambaye hata hajulikani? nchi ina mazongezonge sana hii...
 
This has nothing to do with Magulification, which is advocating for transparency and accountability!
Kuna kitu hakiko sawa vichwani mwa baadhi ya Watanzania wenzangu...how does one reconcile transparency and accountability and the rise of wasiojulikana under the late Magufuli regime? Where do we put the dividing line between the late Magufuli himself and his top assistant, the Vice President.
Kiufupi zile death squads za wasiojulikana zinaenda kupewa makali zaidi na kuwa activated ,
Watch out
Je hawa mafahali wawili waliwezaje kuishi nyumba moja kwa zaidi ya miaka mitano bila misuguano yoyote? Wapo Watanzania wanaojaribu kutushawishi kuwa hawakuwa pamoja katika maamuzi yao mengi kiutendaji, really? Jamani tuache unafiki, ndege wafananao huruka pamoja. Kazi inaendelea!
 
Huko kwa wenzetu umesikia majasusi wao wanasimamia chama fulani kukaa madarakani kwa shuruti?
Unaweza pindisha yote kwa namna yeyote ile, lakini, Uhalisia ni kuwa hakuna sehemu kwenye muswada huo au kwenye mapendkezo yanayosema Majasusi wanaenda kusimamia CCM. Hakuna. Ila naweza sema upo uwezekano wa baadhi ya majasusi kuwa na mahaba na CCM au ACT au NCCR na wengine....hilo halikosekani katika nchi yeyote ile!
Unatolea mfano usioendana na uhalisia wa hapa kwetu?
Mfano gani huo? Sijatoa mfano wowote ule zaidi ya Kuhoji. Ninacho kielewa hapa ni kinga inayozungumziwa ni kwaajili ya TISS na sio vyombo vingine kama Polisi, Jeshi n.k sambamba ni kinga wakiwa kazini na sio vinginevyo.

Huko kwenye hizi nchi mpaka rais anaweza kushitakiwa, sasa hapa kwetu mpaka naibu spika ana kinga ya kutoshtakiwa. Huoni kama unajimix?
Na jimix kivipi tena? Raisi anaweza kushitakiwa pale anapogota kuwa Raisi na hawezi kushitakiwa kwa Mambo aliyoyafanya kama Raisi...yaani hawezi kupelekwa mahakamani kwa kutoa oda ya kwenda vitani, na tunajua vitani watu hufa! tena pande zote!
 
Unaweza pindisha yote kwa namna yeyote ile, lakini, Uhalisia ni kuwa hakuna sehemu kwenye muswada huo au kwenye mapendkezo yanayosema Majasusi wanaenda kusimamia CCM. Hakuna. Ila naweza sema upo uwezekano wa baadhi ya majasusi kuwa na mahaba na CCM au ACT au NCCR na wengine....hilo halikosekani katika nchi yeyote ile!

Mfano gani huo? Sijatoa mfano wowote ule zaidi ya Kuhoji. Ninacho kielewa hapa ni kinga inayozungumziwa ni kwaajili ya TISS na sio vyombo vingine kama Polisi, Jeshi n.k sambamba ni kinga wakiwa kazini na sio vinginevyo.

Na jimix kivipi tena? Raisi anaweza kushitakiwa pale anapogota kuwa Raisi na hawezi kushitakiwa kwa Mambo aliyoyafanya kama Raisi...yaani hawezi kupelekwa mahakamani kwa kutoa oda ya kwenda vitani, na tunajua vitani watu hufa! tena pande zote!
Kwani hivi sasa TISS wanafanya kazi kwa faida ya CCM kuna popote sheria imewataka kufanya hivyo? Ni wapi kwa sheria hii hii umewahi kuona TISS anashitakiwa, huku matendo yao maovu yakiwa yanafahamika? Kama hata sasa hawashtakiki, itakuwaje wakiwa na kinga ya kisheria kabisa?

Rais wa Tanzania hawezi kushitakiwa popote kwa katiba hii, hata kama atakuwa amefanya uovu nje ya kazi yake ya urais. Huo ndio ukweli.
 
Kuna kitu hakiko sawa vichwani mwa baadhi ya Watanzania wenzangu...how does one reconcile transparency and accountability and the rise of wasiojulikana under the late Magufuli regime?
Kwanza, ulikuwa mradi wa Profesori P.L.O ila kwasababu wanaattack anything Magufuli, basi chochote inakuwa halali kwao. Hata pale pasipo na uhusiano wa moja kwa moja.
Where do we put the dividing line between the late Magufuli himself and his top assistant, the Vice President.
Nimehoji hayo sana tu, ila najua the Late is no more(amemaliza mwendo) In short it beats me but its another discussion to have
Je hawa mafahali wawili waliwezaje kuishi nyumba moja kwa zaidi ya miaka mitano bila misuguano yoyote?
Naamini misuguano haikosekani sehemu yeyote ile##haikukosekana.
Wapo Watanzania wanaojaribu kutushawishi kuwa hawakuwa pamoja katika maamuzi yao mengi kiutendaji, really?
Labda kwa kushinikizwa?

Jamani tuache unafiki, ndege wafananao huruka pamoja. Kazi inaendelea!
100%[✓]
 
Miongoni mwa hasara KUBWA aliyotuachia Magu ni hizo za watu kutokuwa na uwezo wakufikiri
Magu ndio Rais aliyekaa madarakani kwa muda mfupi sana na sasa wanaongoza nchi sio katika genge lake Magu ila ajabu bado Magu anaendelea kulaumiwa kwa yanayoendelea sasa nchini hali ambapo Msoga gang ndio wameshikilia nchi watu ambao ugomvi wao na Magu uliamuliwa na Mungu.
 
Hii nchi wananchi wake ni wajinga na hovyo wa kiwango cha lami inakuaje FBI, CIA na m16 watu wao hawana kinga kabisa ila hili li nchi la kimasikini mnataka kuwawekekea kinga kisa ni .... Kwahiyo wasiojukikana bila shaka wanapewa kinga zaidi wa kufanya uovu wao si ndiyo?

Ila shangaa na wewe wananchi hawajajua chochote kuhusu hii sheria mpya hii nchi ya ajabu sana na itaendelea kuwa masikini milele! Umagufulification.

View attachment 2640506
View attachment 2640511View attachment 2640512

wapinzani wetu tuonyesheni njia kama wenzenu wa kenya wanavyofanya.wao wamegomea finance bill hivyo ( they back to the streets).
 
Kwani hivi sasa TISS wanafanya kazi kwa faida ya CCM kuna popote sheria imewataka kufanya hivyo?
Hata ACT au NCCR au CUF wakishika dola TISS itakuwepo kwa maslahi ya Taifa. TISS infanya kazi kwa mujibu wa Katiba na sheria zingine....CCM ndio iliepo madarakani hawan jinsi.
Ni wapi kwa sheria hii hii umewahi kuona TISS anashitakiwa, huku matendo yao maovu yakiwa yanafahamika?
Kwa hiyo unadai wasiojulikana wanajulikana?? wewe umeshawahi kuona au kusikia wapi MI6 au CIA agents wanashitakiwa?
Kama hata sasa hawashtakiki, itakuwaje wakiwa na kinga ya kisheria kabisa?
Kwanza kwa makosa gani? Unajuaje wale wanaoshitakiwa mahakamani wengine ni TISS au MI6 n.k hatahivyo kwa makosa gani hayo?
Rais wa Tanzania hawezi kushitakiwa popote kwa katiba hii, hata kama atakuwa amefanya uovu nje ya kazi yake ya urais. Huo ndio ukweli.
Raisi hayumo kwenye muswada.....Uwe ni Ukweli au lah Raisi sio TISS

Huku kuunga unga ni kuondoshana kwenye reli.
 
Hata ACT au NCCR au CUF wakishika dola TISS itakuwepo kwa maslahi ya Taifa. TISS infanya kazi kwa mujibu wa Katiba na sheria zingine....CCM ndio iliepo madarakani hawan jinsi.

Kwa hiyo unadai wasiojulikana wanajulikana?? wewe umeshawahi kuona au kusikia wapi MI6 au CIA agents wanashitakiwa?

Kwanza kwa makosa gani? Unajuaje wale wanaoshitakiwa mahakamani wengine ni TISS au MI6 n.k hatahivyo kwa makosa gani hayo?

Raisi hayumo kwenye muswada.....Uwe ni Ukweli au lah Raisi sio TISS

Huku kuunga unga ni kuondoshana kwenye reli.

Umejaza nadharia wakati uhalisia tunaujua. Ama unadhani hatujui utendaji kazi wa hizi taasisi zetu za kimamlaka?
 
Yaliyomo nyuma ya pazia ya maridhiano!
Uzuri ni kuwa, Raisi wa Umoja Party ajaye, anaweza badilisha hayo ili ukweli ujulikane.

This has nothing to do with Magulification, which is advocating for transparency and accountability!
Umoja Party ??!!
 
maandalizi ya 2025 and beyond.. walikuwa na support zamani hivo wanaiba kidogo tu kura wanashinda.. sasa hivi itahitaji uibe kura zaidi ya mamilioni ndio ushinde.. tegemea kuona wakishinikiza mitandao ya kitanzania kuweka national id ndipo wajiunge au wa-verify namba zao kama rumble/twitter. SOON they are coming for online dissenters..SOON
 
Ajabu mkaacha kumuomba Mungu aiuwe ccm badala yake mkamuomba amuuwe Magufuli na kweli akawajibu huku tukitegemea mabadiliko, ila cha kusikitisha bado Magufuli anaendelea kuonekana ni tatizo hadi sasa pamoja na kumsema kote kule kwa madai ya kwamba ili tujifunze tusirudie tena makosa ila wapi.

Nadhani maombi ya kifo yangeelekezwa kwa chama cha ccm tungekuwa tumeondoa mzizi wa tatizo.
Swadakta
 
Back
Top Bottom