Ndio njia zilizopo. Unaweza usiamini maana unahisi watu watakuwa na uzombie wa kudumu.Hua una mawazo kama chizi jamaa yangu...
Umeshawahi kumpindua hata jirani yako kabla hujawaza kupindua nchi?
Nadhani lami sometimes hua inachoka na kuhitaji viraka. Huu ni ujinga wa kiwango Cha zege lile kali kabisa.Huu ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha lami! Haiwezekani mie nitaandamana kwa huu upuuzi wao
Unataka kujustify Nini mkuu hebu tusaidie, unataka tuseme matukio haya Ni sababu ya kuona tunachoketewa hakina mchango wa Magufuli, as per Magufulfication?Wazanzibar walikua wakimbizi kipindi cha magufuri?
Unajua Lipumba na Slaa walijeruhiwa kipindi gani?
Nani alimuua Mwangosi
Kipigo cha ulimboka na sumu ya mwakiembe?
Vp kuhusu Filikunjombe?
Umeyasahau au hukuwepo?
Kabisa, hapa ni wasiojulikana wanaenda kuhalalishwa.Kiufupi zile death squads za wasiojulikana zinaenda kupewa makali zaidi na kuwa activated ,
Watch out
Sasa watajulikana na watafanya yao wakiwa wanalindwa na Sheria.Kabisa, hapa ni wasiojulikana wanaenda kuhalalishwa.
Emu soma ulichoandika halafu unambie watangulizi wa Magufuli walijitenga vipi na matukio yale...Unataka kujustify Nini mkuu hebu tusaidie, unataka tuseme matukio haya Ni sababu ya kuona tunachoketewa hakina mchango wa Magufuli, as per Magufulfication?
Watangulizi wake walijitenga na hayo matukio lakini yeye aliambatana nayo Tena kwa extent kubwa ilivyokua inatisha kulingana na Mila na desturi za kitanzania, aliyekua msaidizi wake Sasa ameyaimarisha na anayaweka kimfumo zaidi! Yani kwa lugha nyeoesi anajifanya kujitenga nayo kama sio yeye yanaingia kwenye mfumo!
Si umeona umeme na kero zake? Lawama Ni kwa January, Kodi na tozo lukuki lawama Ni kwa Madelu!
Labda utuambie yte hayo Ni Sera na maisha ya CCM ambapo hata hivyo hatutaweza kumtenga Magufuli kwa sababu alikua mwenyekiti wa chama na top katika maamuzi ya Chama.
Na alihubiri Sera hizo hizo kandamizi na za kibaguzi akiwa na Shati la chama.
Exactly.Sasa watajulikana na watafanya yao wakiwa wanalindwa na Sheria.
Kila mtu ataogopa uovu maana hajui siku wala saa atakavyodakwa...Ache inyeshe tuone panapovujaHii ni nzuri sana we hujui TU hakuna aliye salama Hadi wao wenyewe viongozi nchi inakwenda kuwa ya TISS HAKUNA CHA SIASA TENA KIONGOZI AKILETA FOKOFOKO ALAKIWA KICHWA
Sijasema kabla ya Magufuli kulikuwa hakuna matatizo, ila yaliongezeka kipindi cha MagufuliWazanzibar walikua wakimbizi kipindi cha magufuri?
Unajua Lipumba na Slaa walijeruhiwa kipindi gani?
Nani alimuua Mwangosi
Kipigo cha ulimboka na sumu ya mwakiembe?
Vp kuhusu Filikunjombe?
Umeyasahau au hukuwepo?
Magulification does advocate for transparency and accountability. PeriodWhich one is advocating for transparency and accountability hebu fafanua mkuu..
Nadharia ya Magulification haikujengwa kwa msingi/misingi wa kutumia vyombo vya Dola! au Ya!This has a lot to do with Magufulication, yeye ndio alijenga msingi wa kutumia vyombo vya dola kuwadhibiti wakosoaji wake, kwahiyo hii Ni maboresho In a more sophisticated way!
Unajua aliwahi kusema I WISH I I COULD BE AIJIIPI?
Unataka kusema wewe hujawai kupiga mkwara? Ati 'njoo mtaani kwetu uone?' Wacha hizo!WAFUKUZE HUKO BUNGENI WAKIJA HUKU NITAWASHIGHULIKIA SABABU HUKU HAWANA KINGA?
Are you free? and to what extent? Cheza wewe!.AKALIAMBIA GAZETI LA MWANANCHI KUWA "YOU ARE NOT FREE TO THAT EXTENT"
Unajichanganya.Sasa kwa Sheria hii mpya hutaskia sehemu hayo yakisemwa mkuu! Unless umekua pro-magufuli kupitiliza hutaona Hilo! And umoja party haitasajiliwa nimekaa hapa utaniambia
Maelezo mazuri sanaMkuu samahani labda Mimi nina tongo tongo!
Ninachojua mimi kwenye mchakato wa kutunga Sheria bunge halitungi Sheria bali linajadili muswada wa sheria na kushauri kipi kiongezwe na kipi kipunguzwe!
Wizara husika hukaa na kuona mahitaji ya kisheria katima wizara au Idara husika!
Wataalamu wa sheria wa wizara wanadraft mapendekezo kwa kishirikina na mwanasheria mkuu wa serikali.
Draft husika huwasilishwa kwenye kikao cha Baraza la mawaziri ambapo Rais ndiye mwenyekiti, baada ya Baraza la mawaziri kuijadili na kukubalika juu ya Hiyo Draft inaandikwa Kama Billl of law au muswada wa sheria.
Wakati wa vikao vya Bunge waziri huwasilishwa muswada huo Bungeni ili wabunge waweze kuusikia na kuujadili kwa pamoja huku wakitoa mapendekezo na marekebisho mbalimbali.
Serikali hurudi na kukaa na kupitia mapendekezo yaliyotolewa na wabunge pamoja na wadau wa swala husika.
Baada ya hapo hurudihswa tena bungeni ili kupigiwa kura na kupitishwa ili kuwa Sheria.
Aidha baada ya kupitishwa muswada huo hurudishwa kwa rais ili atie saini kuwa Sheria hiyo imeanza kutumika.
Kwa mujibu wa katiba yetu na mtiririko huo ni dhahiri kwamba sheria au mapendekezo ya Sheria yanaanza na Rais na sio wabunge unless mbunge aje na hoja binafsi katika sheria husika.
Na inapotokea Bunge na serikali wakashindwa kuelewana katika Sheria husika Rais anaweza kulivunja Bunge na tukarejea kwenye uchaguzi!
Kwa Sheria hii iliyoletwa na Waziri Simba chawene Ni Sheria inayoenda kulinda Maslahi ya Viongozi wa CCM ikiwemo Rais wabunge mawaziri na viongozi waandamizi wa serikali ambao kwa nafasi zao wanaweza kuwatumia watu wa usalama wa taifa katika kutimiza majukumu yao au kutimiza matarajio yao kisiasa.
Kufungua kinacholalamikiwa Ni kuwaongezea kinga za kijinai maafisa wa usalama wa taifa au wafanyakazi wa idara ya usalama wa taifa wanapokua wanatimiza majukumu yao.
Swali je Nani anajua mstari wa majukumu ya afisa wa usalama wa taifa kiusalama au binafsi!? Kwamba anaweza kuutwaa uhai wa mtu lakini katika Mazingira ambayo hayana uhusiano na usalama wa taifa lakini sheria itamlinda! (Kinga ya kutishtakiwa) kwa makosa ya kijinai.
Sheria inaenda kubadilishwa kwamba Idara ya usalama wa taifa haitakua Tena chini ya waziri Bali Rais!
Lakini pia kuna kuongezewa kwa kiapo Cha kutunza siri hata baada ya kustaafu au kuacha kazi, kwamba kwakua watakua na Kinga ya kijinai I maana hata makosa ya hovyo watakayofanya kwa kutumiwa na watawala hakuna namna watatoa taarifa kwa vyombo vingine vya dola au serikali nyingine!
Kwahiyo Sheria hii inaonekana kujenga Mazingira ya kuminya wakisoaji wa serikali kwa namna ya tofauti kuliko wakati uliopita!
Ccm wanafanya watakaloInasikitisha Kwa kweli,hii ndio hasara ya ujamaa wa Mwalimu ndio unatutesa Hadi Sasa..
Kwa staili hii Tunaenda kufugwa kama mifugo.
Nilikua nazurura huko Fb nikakutana na video moja nadhani Ni huko Isimani kwa mheshimiwa Lukuvi, kiongozi wa CCM anawahutumia wananchi kuhusu umuhimu wa kuwa na Kadi ya CCM na mpango wa CCM kuhakikisha kwamba ifikapo mwezi wa nane kila mtanzania na kila Mwana CCM atakua nakadi ya CCM .Ccm wanafanya watakalo