Serikali, hiki mnachokifanya hakikubaliki!

Hata kupitia mumeo sawa tu
Nina maana jamaa hawajali !! Shida ndio ipo hapo !! Na hasa wakiona hivi tunavyokashifiana ndio wanatudharau kabisa !! A short temper can also be a sign of an underlying condition like depression or intermittent explosive disorder !! ( IED ) !
 
Umoja Party ??!!
😂😂😂😂

Sikutaka kuvimbisha vichwa, wengine 😌 wanachosha na uharakati!

Hatahivyo nilichokisema ni...
.... hakuna sheria isiyoweza kutenguliwa na yeyote ajaye.

Kumbuka, haya makelele ni muendelezo wa kukandamiza kisaikilojia wa mwamko uliotokea nyuma.(transparency and accountability).anyways they are using counter argument to quell what they are really advocating for.

haijalishi

...Vyama vya siasa vinakosa muelekeo, vinakosa dira za mda mrefu, yaani vimeweka nguvu kubwa ya kuuza sura za Uraisi. Hilo walisahahu kwani Umoja inakuja.
 
Tunausubiri !!
 
Nina maana jamaa hawajali !! Shida ndio ipo hapo !! Na hasa wakiona hivi tunavyokashifiana ndio wanatudharau kabisa !! A short temper can also be a sign of an underlying condition like depression or intermittent explosive disorder !! ( IED ) !
Ukijiheshimu utaheshimiwa hakuna namna
 
Hii nchi wananchi wake ni wajinga na hovyo wa kiwango cha lami inakuaje FBI, CIA na m16 watu wao hawana kinga kabisa ila hili li nchi la kimasikini mnataka kuwawekekea kinga kisa ni .... Kwahiyo wasiojukikana bila shaka wanapewa kinga zaidi wa kufanya uovu wao si ndiyo?

Ila shangaa na wewe wananchi hawajajua chochote kuhusu hii sheria mpya hii nchi ya ajabu sana na itaendelea kuwa masikini milele! Umagufulification.

View attachment 2640506
View attachment 2640511View attachment 2640512
Refer to MP Lema the prophet
 
Back
Top Bottom