Tafadhali tujulishe una changamoto gani haswa na TANESCO, eneo gani? Namna ya simu tuifanyie kazi mara moja.TANESCO hili shirika limekuwa likilalamikiwa na watu katika changamoto mbalimbali
1) Kufunga nguzo Bila kuunganisha
2) Rushwa kwa surveyor ili watembelee eneo husika
3)USambazaji wa Nguzo umeanza kudolola
4)Customer care Mbovu mfano mzuri Nyakato Mwanza wanamajibu ya ovyo kweli kuanzia Manager mpaka surveyor
5) Kama nguzo iko kwa jirani unaweza ukaenda tanesco mpaka Miguu ikaota vigimbi
6)Waziri tembelea miradi ujue changamoto
7)Form za wateja zinapotea na kupuuzwa
MAJI
Katika changamoto 70% Ya watanzania wanayokabiliana nayo ni swala la maji, Hili limekuwa kilio kwa wananchi hawaoni mikakati yoyote wala kipaumbele,tukijua maji yame!aba asilimia kubwa ya maisha ya Mwanadamu
Suala Airtime kwenye simu na miamala Hizi akili sijui nani kazitoa , watu wanavuta bange,na kulewa ndio wanatuletea mawazo Machafu namna hii ,Hivi hi Tz kuna watu hawajui kuna watu wanashinda njaa,watu wanahangaika hata kupata 10,000
ushauri wangu kwa serikali Angalieni Mambo yanayowagusa wananchi wengi achaneni na siasa za ugoro
Tafadhali tujulishe una changamoto gani haswa na TANESCO, eneo gani? Namna ya simu tuifanyie kazi mara moja.
Ahsante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidiNdokeji said:
SHIDA YA KUFUNGUWA UMEME
•••
- Participants
- Ndokeji
- TANESCO
- Start dateTuesday at 5:38 AM
@
@Ndokeji
JF-Expert Member
Tuesday at 5:38 AM
Jina Mkoa:Mwanza
Jina la wila:Magu
Jina La Mji :Kisesa
Jina la Mtaa:Iseni Bondeni B
Wahusika :Tanesco Nyakato
Mradi wameshafunga nguzo na nyaya week mbili zilizopita
Jina surveyor : Kimei
Phone no:0765167090
Changamoto
Ni eneo ambalo mpaka wananchi tumelalamika ndio likawekewa nguzo na nyaya kwa mda mrefu toka umeme ufungwe mtaa huu 2016
Leo hii wameweka nguzo na nyaya mpaka tunsforma ipo
Shida tunapofatilia tunambia hakuna gari, zipo mbili hazitoshi, surveyor wawili hawatoshi leo hii nawapa taarifa tanesco mtusaidie
Aje surveyor watuwekee umeme ,sasa wameweka nguzo jamani kama mapambo
Ni sehemu kubwa wote hatujawekewe ukifika tu hapa isen Bondeni B kisesa
Muulizeni Huyo surveyor anapajua
Click to expand...
Ndugu mpendwa Mteja wetuNdokeji said:
Tanasco mbona hamsaidii huku kisesa isen B mmeshafunga nguzo mwezi mzima hata surveyor hajapita hivi kweli ingekuwa kipindi cha Magufuli mgefanya hayo
Ahsante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi.Ndokeji said:

Tanesco mmekuwa shirika la ovyo kabisa ,waongo ,mnaweka nguzo Mwezi mzima hakuna umeme kila siku nawapa taarifa Magunzo yamekuwa kama Mapambo sisi tukuishi gizani
Hapo nyakato Mwanza wamewashinda ovyo kabisa ,bora msingetuwekea hayo Manguzo tukaendelea kutumia solar zetu
Tafadhali onyesha taarifa kamili kwa hatua zaidi.Ndokeji said:
Nimeriport mara nyingi hakuna hatua yoyote mnayachukua, Taarifa mnazo angalieni conversation nyingi nimewaelekeza lakini mnatufanyia unyama
Ndokeji said:
Nimeonesha hizi week nzima mnajibu tutafatilia mpaka leo, yaani mnakera kama wahadumu wenu
Jina Mkoa:Mwanza
Jina la wila:Magu
Jina La Mji :Kisesa
Jina la Mtaa:Iseni Bondeni B
Wahusika :Tanesco Nyakato
Mradi wameshafunga nguzo na nyaya week mbili zilizopita
Jina surveyor : Kimei
Phone no:0765167090
Changamoto
Ni eneo ambalo mpaka wananchi tumelalamika ndio likawekewa nguzo na nyaya kwa mda mrefu toka umeme ufungwe mtaa huu 2016
Leo hii wameweka nguzo na nyaya mpaka tunsforma ipo
Shida tunapofatilia tunambia hakuna gari, zipo mbili hazitoshi, surveyor wawili hawatoshi leo hii nawapa taarifa tanesco mtusaidie
Aje surveyor watuwekee umeme ,sasa wameweka nguzo jamani kama mapambo
Ni sehemu kubwa wote hatujawekewe ukifika tu hapa isen Bondeni B kisesa
Muulizeni Huyo surveyor anapajua
Nyie acheni kujionyesha kwamba mnajali sana mbele ya watu ila huduma zetu ni hovyo sana.Tafadhali tujulishe una changamoto gani haswa na TANESCO, eneo gani? Namna ya simu tuifanyie kazi mara moja.
Hawa watu unatumia Taarifa zote wanapotezea kabisa yaani shirika sijui kinaelekea wapi ,nenda kwenye vituo vyao mpaka utahurumia wananchi , Hudumu zimekuwa ngumu kama unafatilia Hela ya MafaoUmewapa Tanesco ngumi za uso safi sana
Nalog off
Wana bahati sana ndio maana wanaringa, ingekuwa hili shirika lina mpinzani lingeshakuwa muflisiHawa watu unatumia Taarifa zote wanapotezea kabisa yaani shirika sijui kinaelekea wapi ,nenda kwenye vituo vyao mpaka utahurumia wananchi , Hudumu zimekuwa ngumu kama unafatilia Hela ya Mafao
Geko lolo Ngosha!
Tunaomba taarifa kamili tafadhali
•••
- Participants
- TANESCO
- Ndokeji
- Start dateJul 2, 2021
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]
TANESCO
Verified Member
✅
Jul 2, 2021
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]
Ndokeji
JF-Expert Member
Jul 3, 2021
SHIDA YA KUFUNGUWA UMEME
•••
- Participants
- Ndokeji
- TANESCO
- Start dateTuesday at 5:38 AM
@
Ndokeji
JF-Expert Member
Tuesday at 5:38 AM
Jina Mkoa:Mwanza
Jina la wila:Magu
Jina La Mji :Kisesa
Jina la Mtaa:Iseni Bondeni B
Wahusika :Tanesco Nyakato
Mradi wameshafunga nguzo na nyaya week mbili zilizopita
Jina surveyor : Kimei
Phone no:0765167090
Changamoto
Ni eneo ambalo mpaka wananchi tumelalamika ndio likawekewa nguzo na nyaya kwa mda mrefu toka umeme ufungwe mtaa huu 2016
Leo hii wameweka nguzo na nyaya mpaka tunsforma ipo
Shida tunapofatilia tunambia hakuna gari, zipo mbili hazitoshi, surveyor wawili hawatoshi leo hii nawapa taarifa tanesco mtusaidie
Aje surveyor watuwekee umeme ,sasa wameweka nguzo jamani kama mapambo
Ni sehemu kubwa wote hatujawekewe ukifika tu hapa isen Bondeni B kisesa
Muulizeni Huyo surveyor anapajua
Quote Reply
Report
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]
TANESCO
Verified Member
✅
Jul 3, 2021
Ahsante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]
Ndokeji
JF-Expert Member
Jul 3, 2021
Asante Tutashukru kama mtatusaidia
Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]
Ndokeji
JF-Expert Member
Jul 7, 2021
Tanasco mbona hamsaidii huku kisesa isen B mmeshafunga nguzo mwezi mzima hata surveyor hajapita hivi kweli ingekuwa kipindi cha Magufuli mgefanya hayo
Quote Reply
Report
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]
TANESCO
Verified Member
✅
Jul 7, 2021
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]
Ndokeji
JF-Expert Member
Jul 8, 2021
Jina Mkoa:Mwanza
Jina la wila:Magu
Jina La Mji :Kisesa
Jina la Mtaa:Iseni Bondeni B
Wahusika :Tanesco Nyakato
Mradi wameshafunga nguzo na nyaya week mbili zilizopita
Jina surveyor : Kimei
Phone no:0765167090
Changamoto
Ni eneo ambalo mpaka wananchi tumelalamika ndio likawekewa nguzo na nyaya kwa mda mrefu toka umeme ufungwe mtaa huu 2016
Leo hii wameweka nguzo na nyaya mpaka tunsforma ipo
Shida tunapofatilia tunambia hakuna gari, zipo mbili hazitoshi, surveyor wawili hawatoshi leo hii nawapa taarifa tanesco mtusaidie
Aje surveyor watuwekee umeme ,sasa wameweka nguzo jamani kama mapambo
Ni sehemu kubwa wote hatujawekewe ukifika tu hapa isen Bondeni B kisesa
Muulizeni Huyo surveyor anapajua
Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]
Ndokeji
JF-Expert Member
Jul 8, 2021
Nimeshawatumia hii ni mara ya tatu hakuna utekelezaji
Quote Reply
Report
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]
TANESCO
Verified Member
✅
Jul 8, 2021
Ahsante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi.
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]
Ndokeji
JF-Expert Member
Jul 9, 2021
Tanesco mmekuwa shirika la ovyo kabisa ,waongo ,mnaweka nguzo Mwezi mzima hakuna umeme kila siku nawapa taarifa Magunzo yamekuwa kama Mapambo sisi tukuishi gizani
Hapo nyakato Mwanza wamewashinda ovyo kabisa ,bora msingetuwekea hayo Manguzo tukaendelea kutumia solar zetu
Quote Reply
Report
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]
TANESCO
Verified Member
✅
Jul 9, 2021
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]
Ndokeji
JF-Expert Member
Jul 9, 2021
Nimeriport mara nyingi hakuna hatua yoyote mnayachukua, Taarifa mnazo angalieni conversation nyingi nimewaelekeza lakini mnatufanyia unyama
Quote Reply
Report
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]
TANESCO
Verified Member
✅
Jul 9, 2021
Tafadhali onyesha taarifa kamili kwa hatua zaidi.
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Ndokeji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/45/45716.jpg?1328098654[/IMG]
Ndokeji
JF-Expert Member
Jul 9, 2021
Nimeonesha hizi week nzima mnajibu tutafatilia mpaka leo, yaani mnakera kama wahadumu wenu
Jina Mkoa:Mwanza
Jina la wila:Magu
Jina La Mji :Kisesa
Jina la Mtaa:Iseni Bondeni B
Wahusika :Tanesco Nyakato
Mradi wameshafunga nguzo na nyaya week mbili zilizopita
Jina surveyor : Kimei
Phone no:0765167090
Changamoto
Ni eneo ambalo mpaka wananchi tumelalamika ndio likawekewa nguzo na nyaya kwa mda mrefu toka umeme ufungwe mtaa huu 2016
Leo hii wameweka nguzo na nyaya mpaka tunsforma ipo
Shida tunapofatilia tunambia hakuna gari, zipo mbili hazitoshi, surveyor wawili hawatoshi leo hii nawapa taarifa tanesco mtusaidie
Aje surveyor watuwekee umeme ,sasa wameweka nguzo jamani kama mapambo
Ni sehemu kubwa wote hatujawekewe ukifika tu hapa isen Bondeni B kisesa
Muulizeni Huyo surveyor anapajua
Quote Reply
Report
[IMG alt="TANESCO"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/234/234647.jpg?1408704674[/IMG]
TANESCO
Verified Member
✅
Jul 9, 2021
Hili shirika linahitaji Mapinduzi ya Hali ya juu ,nafikiri Bado hawajui huduma zao zimepanuka population kubwa ya watu wanahitaji huduma ,lakini wao wamekaa ofisini tu ,naukienda ofisini wanamajibu ya kukatisha tamaa kabisa, Tunakoelekea katika Maendeleo hili shirika linahita mapinduzi Makubwa ya kiuongozi , na wajili vijana wapige kazi, Mambo yakutwambia sisi limebaki gari moja na surveyor moja ni udhaifu wa hali ya juuNyie acheni kujionyesha kwamba mnajali sana mbele ya watu ila huduma zetu ni hovyo sana.
Kwani mnalipwa mishahara ya kukaa ofisini mkisubiri wateja wawajulishe matatizo mnayoyasababisha wenyewe?
Simu zenyewe zikipigwa hazipokelewi,zikipokelewa ufuatiliaji hakuna zero.
Mnakera sana nyie basi tu
Unaweza kukalishwa kwenye foleni masaa 2 ila ukifika kuhudumiwa wanatumia sekunde 2 kukwambia kuwa surveyor hayupo,njoo kesho.Hili shirika linahitaji Mapinduzi ya Hali ya juu ,nafikiri Bado hawajui huduma zao zimepanuka population kubwa ya watu wanahitaji huduma ,lakini wao wamekaa ofisini tu ,naukienda ofisini wanamajibu ya kukatisha tamaa kabisa, Tunakoelekea katika Maendeleo hili shirika linahita mapinduzi Makubwa ya kiuongozi , na wajili vijana wapige kazi, Mambo yakutwambia sisi limebaki gari moja na surveyor moja ni udhaifu wa hali ya juu
Yaani sijawahi kuona huduma mbovu kama hii ,na pengine anakujibu Mara moja tu ,... BADO sasa unabaki unafikiri bado nini sasa? Ukirudi kuuliza unambiwa wewe si nimeshakwambia Bado? Sijui kiburi wanakitoa wapi, Harafu Hakuna hata Monitoring yoyote kutoka ofisi ya waziri kujua status ya HudumaUnaweza kukalishwa kwenye foleni masaa 2 ila ukifika kuhudumiwa wanatumia sekunde 2 kukwambia kuwa surveyor hayupo,njoo kesho.
Inauma sana
Hata Kenyan Power Limited (KPL) nao walikuwa wasumbufu kama TENESCO. Wakenya wengi walijiongeza kutumia masolar panels, KPL walipoona wateja wengi wanahamia kwenye masolar ndo wakaanza kuboresha huduma zao mpaka Leo. Ila shida ya watanzania wengi sijui wanakwama wapi kutumia njia mbadala mbona TENESCO wangenyooka wenyewe.Kwangu Mpaka nimeamua kuweka solar panel wakati linguzo la tanesco liko pembeni yaani nikiamuaka asubuhi natamani walitoe ni kero tupu
Kwa Huduma ya Tanesco inaanza kuwa Mbovu , na sasa hivi solar panel yameanza kuzagaa na technolojia inavyokwenda kwa speed watu wengi wataanza kutumia solar, Watu wanachoka unapeleka form unapanga foleni, ukienda kuulizia unapewa jibu fupi subili mpaka surveyor aje, ukafatilia unambiwa leo hayupo,ukienda tena mara gari chache suveyor wachache yaani ni chenga hadi keroHata Kenyan Power Limited (KPL) nao walikuwa wasumbufu kama TENESCO. Wakenya wengi walijiongeza kutumia masolar panels, KPL walipoona wateja wengi wanahamia kwenye masolar ndo wakaanza kuboresha huduma zao mpaka Leo. Ila shida ya watanzania wengi sijui wanakwama wapi kutumia njia mbadala mbona TENESCO wangenyooka wenyewe.
Mimi naona wanafanya hivo kutengeneza mazingira ya rushwa. Ukiingia kwenye tovuti yao nako vituko tu, yaani wanaweka nambari ya mawasiliano isiofanya kazi. Serekali inapoteza kodi nyingi kwenye huduma ya umeme hata sioni sababu ya kuzuia ushindani na makampuni mengine.Kwa Huduma ya Tanesco inaanza kuwa Mbovu , na sasa hivi solar panel yameanza kuzagaa na technolojia inavyokwenda kwa speed watu wengi wataanza kutumia solar, Watu wanachoka unapeleka form unapanga foleni, ukienda kuulizia unapewa jibu fupi subili mpaka surveyor aje, ukafatilia unambiwa leo hayupo,ukienda tena mara gari chache suveyor wachache yaani ni chenga hadi kero