Kituo cha TV cha NBC ndiyo kilikuwa kinaonyesha hiyo season, story ya hii series inahusu ndege iliyoanguka katika Jimbo la Alaska nchini Marekani karibia kumalizika kwa vita ya pili ya dunia. Kuna viumbe vinavyosadikika kuwa ni aliens vilikamatwa na Maafisa wa Serikali na kuvificha kwenye mojawapo ya jengo la Serikali.
The story follows the consequences of an alien crash in Alaska near the end of World War II. A number of the aliens (who look like humans but age much slower) are captured by the American government and detained in a top-secret facility near the crash site. Others are able to blend into society unbeknownst to the government.
In the present day, a breakaway faction of the assimilated aliens plot to assassinate the President to force the government to release their people, who are still being held prisoner. As the President begins to unravel this plot, a young couple on a cruise are pulled into the intrigue and separated, leading the young man, Sean Walker, to mount a cross-country search for his girlfriend.
Hii series waliicheza ikionyesha uhalisia wa Ikulu ya Marekani ambapo inaonyesha jengo mojawapo la Ikulu linasambalatishwa kwa kombora.
NBC wanadai waliacha kuionyesha kwasababu ilikosa washabiki na watazamaji wengi tofauti na season iliyotangulia ya LOST, lakini ukifuatilia kwa makini utaona kuwa hii series ilikuwa inapendwa.
Inasemekana kuwa NBC walikatazwa na Serikali ya Marekani kuendelea kuonyeshwa kwa hii series maana kombora lililotumika kusambaratisha moja ya jengo la Ikulu ilikuwa inaonyesha uhalisi, kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa Ikulu.