Series ya intelligencia ya Bongo

Series ya intelligencia ya Bongo

Tuo Tuo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
855
Reaction score
1,403
Nataka nitengeneze series Kali ya Kiintelligencia ya kibongo!! Iwe HD na yenye Technologia ya hali ya juu!!

Lakini nilitaka ushauri nifanyeje jinsi ya kuuza hyo series baada ya kuimaliza niweze pata faida kama series za nje nisiishie kupeleka kwa mhindi ikanikata!!

Ushauri juu ya wasanii!!
Je nichukue wasanii gani
Ray,Lulu,wema,hemedi ,Gabo,Kajala

Nataka wataofanya series iwe maarufu na jina kwa faida zaidi!!

Kwa ushauri wowote karibuni wadau
 
Kwa akili zako tu hao uliowataja wanaweza cheza yaana unataka kufanya kitu cha uhalisia unauwezo Wa kutumia Mali za serikali kama mahakama ofisi za jeshi la polisi uniform za jeshi la polisi magari sehemu zenye uhalisia je unadhani bongo inawezekana kuwapata watu wanaweza kuingiza kii telejensia kama unavyoona seris za ulaya je unahela ya kuwekeza ili upate uhalisia maana kuleta uhalisia Wa series kama hiyo Na uwalipe waigizaji Bora uwekeze kwenye biashara nyingine
 
hongera maana una mawazo makubwa ila hakikisha unakuwa na bajeti kubwa malipo kwa kazi za mwanzo usiwaze sana maana si unajua mtu afundishwi njia mara ya pili hivyo kwa hiyo kazi yako ya kwanza lazima ukubari kupata hasara pengine unaweza ata usirudishe mtaji wako ula ukisha tusua kwenye anga za filam unatoka na kitu kizuri zaidi ni kuhakikisha unasambaza mwenyewe kazi zako.
 
Nataka nitengeneze series Kali ya Kiintelligencia ya kibongo!! Iwe HD na yenye Technologia ya hali ya juu!!

Lakini nilitaka ushauri nifanyeje jinsi ya kuuza hyo series baada ya kuimaliza niweze pata faida kama series za nje nisiishie kupeleka kwa mhindi ikanikata!!

Ushauri juu ya wasanii!!
Je nichukue wasanii gani
Ray,Lulu,wema,hemedi ,Gabo,Kajala

Nataka wataofanya series iwe maarufu na jina kwa faida zaidi!!

Kwa ushauri wowote karibuni wadau
Weka waigizaji wapya kabisa ili tupate uhalisia. hata mi nipo tayari kushiriki hiyo
 
Series kibongo?Sijui aiseee.
Sio mbaya kujaribu lakini,hata hao wakorea ninaowapenda walianzia mbali.
All the best

Hivi wabongo hatuwezi kutengeneza Historic Seriez(zile za watu wa kizamani ) kama Jumong, Kim So Roo etc....
 
Unatakiwa uwe na mtaji flani wa maana. Usije ukaishia njian kama Jamaa wa THE EVENT. Kitu kingine cha maana...hao mabwege uliotaja hapo, watakuharibia. Tafuta vichwa toka peripheral huko, mtu maarufu anaweza akawa mmoja na mwenye nidhamu na anayeendana na script.
 
Mimi nikisikia series za kibongo huwa naiwazia siri ya mtungi na the team wa swahiliwood maana walitengeneza kitu chenye ubora wa kimataifa.....

Pia kuna kijana ambaye huwa namsoma katika magazines ambaye alitengeneza filamu ya dogo Masai, mdundiko , cid ( sijawah kuziangalia lakini nahisi zitakuwa nzuri kwa kuwa zilipata nomination na tuzo za nje ).......

Kama ni kwa watu maarufu bhasi itakubidi uwachukue wakongwe kama monalisa, richie richie ama wenye kufanana nao pamoja na wasanii wapya...

All the best
 
Kwa akili zako tu hao uliowataja wanaweza cheza yaana unataka kufanya kitu cha uhalisia unauwezo Wa kutumia Mali za serikali kama mahakama ofisi za jeshi la polisi uniform za jeshi la polisi magari sehemu zenye uhalisia je unadhani bongo inawezekana kuwapata watu wanaweza kuingiza kii telejensia kama unavyoona seris za ulaya je unahela ya kuwekeza ili upate uhalisia maana kuleta uhalisia Wa series kama hiyo Na uwalipe waigizaji Bora uwekeze kwenye biashara nyingine
Ndo nilikua nauliza maana ili series ipate jina na umaarufu lazima kuwepo mastar maarufu!!
 
jaribu mkuu...ila kwa hao waigizaji utaturudisha enzi za michezo ya tufani, sayari, kimbunga za MAISHA itv
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom