Series ya intelligencia ya Bongo

Series ya intelligencia ya Bongo

Ray aondolewe na nafasi yake ichukuliwe na Yahaya.
Ray hawezi kuigiza vitu siriazi kama unavyotaka wewe.
Lakini Ray usimtupe kabisa, atakusaidia kwenye mambo ya kupaka poda na kufanya scrub kwa wasanii ili wang'ae kwenye kioo.
 
nic idea lakin lazima uwe na mkwanja wa maana kama milion 30 hivi
wasanii lete vichwa vipya kabisa
mada yapo mengi kuanzia bifu za huku madini mereran, panyaroad, escrow, richmond lakin mambo ya kichawi usiweke kabisa
Wakwanza unatakiwa uwe wewe ndio sterring, manake umepita kwenye brain yangu.
 
Gabo anaweza ila hao wengine no,rich pia anafaa
 
Mkuu kwa mara ya kwanza si lazima ilipe waweza fanya kwa kupromote taifa na wafanyabiashara wake wakuu, mfano utakapocheza hiyo muvi kwa kuipamba vizuri nchi yetu ya Tz katika siasa zake, jamii yake, idara zake zinazo pambana na uharifu, rushwa, uhujumu n.k basi serikali kwa kupitia idara zake zinaweza zikakurahisishia uandaaji wa muendelezo wa series nyengine. Mfano waweza ruhusiwa kutumia baadhi ya office za serikali na miundombinu yake (covert way) mfano; daraja la kigamboni, wizara ya mambo ya ndani, Usalama wa taifa, Ikulu, jeshi n.k (note; baadhi ya office si rahisi kutumiwa, mpaka uwe miongoni mwao)
 
Basata iz woching'i yu...du yu rimemba zati in Tanzania kreativiti izi prohibited...........samuwani traidi tu meki e helicopita bati ze gavamenti stoped himu antili hi faindi experts zose hu kani pruvu ze kwaliti ofu ze matiliozi hi uzidi to prodyuzi zati helikopita...
 
Gabo anaweza ila hao wengine no,rich pia anafaa

Hata mm nilitaka kumshauri huyo Gabo. Jamaa akicheza km jasusi nadhani anaweza. Kwa mastaa wa bongo movi anayeweza kucheza ktk series za intelijensia ni Gabo pekee wengne tupa kule. Bora atafute waigizaji wapya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom