Series (Special thread)

Series (Special thread)

Netnaija wameumaliza mwendo
20230916_124441.jpg
 
Hii site haikuwa na mambo mengi. Una seaech unapakua. Walikuwa wananikosha kwenye series au movies ambazo sio za kingereza wao wanakuwekea kabisa ambayo ina sauti mbili pamoja na subtitles sijui nyingine ni ipi wata offa zenye dual audio
Hakuna aisee sema movie zao quality jau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom