Series (Special thread)

Mwanzo nilikuwa nashangaa, niliona haiingii akilini mtu unateka ndege halafu hujui inafanyaje kazi???? Mpaka nilipoona kwenye next episodes kuwa wamelazimishwa kufanya hijack ili kunusuru maisha ya familia zao

Ila bado kuna kitu sijaelewa, kama walikuwa wanajua ndege itakuwa na abiria zaidi ya 200 kwa nini walikuja na pistol moja tu inayofanya kazi

Hawaku-assume kuwa baadhi ya watu kati ya hao 200 wanaweza kuresist na pistol moja inaweza isitoshe. Ni kama walikurupushwa tu kwenda kufanya Hijack

All in all naona Season 2 itakuwepo.
 
As minimal casualties as they could. Remember they're not killers
 
1 citadel
 
Home land nimeichukia maaana nilikuwa naipenda kisa mwamba Nicolus Broad ssa amenyongwa basi nahis nataman kuipiga chin sizani itakuwa nzuri tena
 
Home land nimeichukia maaana nilikuwa naipenda kisa mwamba Nicolus Broad ssa amenyongwa basi nahis nataman kuipiga chin sizani itakuwa nzuri tena
Hivi pale alikufaa kweli??? Kwa ninavyokumbuka mbelee jamaa alikuja kutokeaa..
 
Lost Bullet 2
Kwa wanaotafuta single movie kali ya Action ya kuangalia weekend hii kuna hii Lost Bullet 2.
Ni ya Kifaransa
Naendelea ku-recommend kila member wa Jamii Forums akaiangalie hata kama hapendi movies
 
Ndio namalizana na The terminal list, huyu James Reece amenikumbusha mission za Rambo na first blood zake. Kali sana hii
 
Hivi hii inahusu nini maana naionaga sijawaigi kuifuatilia kabisa
Hii series imenifanya mpaka kesho nikiona kazi yoyote ina Viola Davis ndani yake basi siiachi. Iangalie mkuu nzuri mno, ina mambo ya legal drama, issue zile za ki mahakamani, murder, crimes in short ni one of the best.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…