Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,501
- 14,783
Umeona kama mimi PB season 1-3 ni kali sana ila kuanzia Season 4 ni kama walikua wanalazimisha matukio naona hii ni kutokana na pressure waliyokuwa wanaipata kutoka kwa mashabiki baada ya season za mwanzo kufanya vizurikwanza ni series mbili zenye vionjo tofauti.
To me PB ni nzuri sana seasons 3 tu za awali, the rest sio kiivo, japo ni series nzuri sana ukiilinganisha na series nyingine kama Money Heist au Quantico. PB nai-rate 8/10
Breaking Bad ile ina vionjo mainly about drug dealing tena in local and middle levels. Kuna chemistry based issues na characters wamepangika. Nimeiangalia mara 2, nayo ni nzuri kwa upande wake. Nai-rate 9/10 nikiilinganisha na Power, Queen of South, Narcos, El Chapo na nyinginezo!
Vionjo vyangu c rahisi kufanana na vya wengine. So nawe una vionjo vyako.
Nashauri Imalize kwanza
Shida inakuja kuzilinganisha PB na BB ni mbingu na nchi, kikubwa PB ni baba lao katika ulimwengu wa series kwa muda wotekwanza ni series mbili zenye vionjo tofauti.
To me PB ni nzuri sana seasons 3 tu za awali, the rest sio kiivo, japo ni series nzuri sana ukiilinganisha na series nyingine kama Money Heist au Quantico. PB nai-rate 8/10
Breaking Bad ile ina vionjo mainly about drug dealing tena in local and middle levels. Kuna chemistry based issues na characters wamepangika. Nimeiangalia mara 2, nayo ni nzuri kwa upande wake. Nai-rate 9/10 nikiilinganisha na Power, Queen of South, Narcos, El Chapo na nyinginezo!
Vionjo vyangu c rahisi kufanana na vya wengine. So nawe una vionjo vyako.
Nashauri Imalize kwanza
PB ipewe bustani kabisa ya Maua [emoji91][emoji91][emoji91]PB kwanza ina matumizi ya akili, kila episode inapoisha inakupa hamasa kucheki next, story haichoshi kuanzia inavyoanza ni amsha amka mpaka mwisho naungana na wewe PB ni level nyingine ila breaking bad story yake imeanza slow
Anayeona PB ndo bora kuliko BB yuko sawaShida inakuja kuzilinganisha PB na BB ni mbingu na nchi, kikubwa PB ni baba lao katika ulimwengu wa series kwa muda wote
Mf mie series za vionjo vya SILO yaani huwa nikiianza tu naona ni ya hovyo na kuitupilia mbali, ila ukiniwekea Series aina ya Zero Zero Zero au The Barbarians asee nakesha kabisaaa!Imetuachia shauku kubwa sana,
Sijaelewa yale maduara ina maana SILO haionekani kwa nje? yale maduara kuna SILO's zingine? Kwa jangwa lile Jules atasurvive kweli?
Nawaza watu wa Silo walivyoona Jules katoboa je hawatataka na wao watoke?
Season 2 itatueleza mengi,
Naisubiri Wednesday ssn 2.
Haina ushoga?FROM iko poa Sana
Ninarecommend kila mwanaJF akaiangalie [emoji28][emoji28]View attachment 2686085
Haina ushoga?
Kitambo sanaFROM iko poa Sana
Ninarecommend kila mwanaJF akaiangalie [emoji28][emoji28]View attachment 2686085
Niko season 1 episode ya 8 hapaHaina ushoga?
Mimi teynaaaaa.....Hujaicheki From?
Umejaa teleeee, sijui utafanyaje [emoji38]Niko season 1 episode ya 8 hapa
Sijaona ushoga bado. Kwa hiyo sijui kama utakuwepo huko mbele
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Umejaa teleeee, sijui utafanyaje [emoji38]
Ushoga ulio kwenye hii ni wanawake yule nesi anademu wake naye anakuja Town kwahiy wanakutana tena[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Nikimaliza season 1 nitaanza series nyingine, asante kwa kuniokolea MB zangu [emoji28][emoji28]
Series tamu kama hii halafu wanaweka mambo ya kijinga dah... Inasikitisha
For the same reason niliishia episode ya 2 kwenye series ya 1899 ingawa hadi leo natamani nijue kilitokea nini na kwenye ile meli ila uchafu wao waliouweka unanichefua, hata hii nitaitupilia mbali
Kama ni ulesbian hapo SawaUshoga ulio kwenye hii ni wanawake yule nesi anademu wake naye anakuja Town kwahiy wanakutana tena
Uanze kuangalia tamthilia za kibongo tu maana za huko duniani ni chache sana kukuta hakuna hayo mambo.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Nikimaliza season 1 nitaanza series nyingine, asante kwa kuniokolea MB zangu [emoji28][emoji28]
Series tamu kama hii halafu wanaweka mambo ya kijinga dah... Inasikitisha
For the same reason niliishia episode ya 2 kwenye series ya 1899 ingawa hadi leo natamani nijue kilitokea nini na kwenye ile meli ila uchafu wao waliouweka unanichefua, hata hii nitaitupilia mbali
Hapana, zipo nyingi tu zisizo na mambo hayo. Nitakuwa nasoma reviews zake kwanzaUanze kuangalia tamthilia za kibongo tu maana za huko duniani ni chache sana kukuta hakuna hayo mambo.