Series (Special thread)

1899 Netflix wameshaicancel [emoji1][emoji1][emoji1][emoji4]hakutakua na season 2 labda itokee kampuni nyingi inunue rightsView attachment 2674732
Hii niliishia episode ya pili kisa ushoga
Hivi huko episode ya 3 kwenda mbele iko poa au na kwenyewe wameendelea kujaza scenes zao chafu za kishoga

Maana series ni kali sana ila tulikosana hapo tu
 
Kuna Tv Show inaitwa Messiah ... Hii Series Ni Moja Ya Series Bora ambayo haijawai tokea .. Na-recommend kwa kila mwana JF aangalie hii series, Unfortunately ina Season 1 tu na Season 2 wame-cancel kuitoa ... Guy's it worth watchin
 
Yahusu?
Na kwanini wameisitisha
 
Nipeni series ya kuangalia jamani inayoendana na hizi mbili maana nimemaliza kuziangalia sitaki zingine naona Kama Ni mbaya
Breaking bad
Prison break
 
Kuna Tv Show inaitwa Messiah ... Hii Series Ni Moja Ya Series Bora ambayo haijawai tokea .. Na-recommend kwa kila mwana JF aangalie hii series, Unfortunately ina Season 1 tu na Season 2 wame-cancel kuitoa ... Guy's it worth watchin
Nasikia kulikua na issues za ushoga na vitendo vya ANTI ISLAMIC ndo maana wananchi wakaipiga vita
 
Vipi kuhusu ushoga
Scene ya ushoga cjaiona tajir kwenye hiyo Series labda kama ntakuwa nimesahau bt as far as I remember ckuona kitu kama hicho ... So far Tv shows za sasa content za ushoga ni nyingi sana bt either way hazijawai fungiwa
 
Ok
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…