Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Japo hua sio shabiki sanaa wa movies za hao drug dealers ila nitaiangaliaDrug dealer mmoja anaitwa Santo anatafutwa na serikali za uhispania na El Salvador ana tumia damu ya watoto kunywa ili asikamatwe na vyombo vya Dola ...
Mkuu unaeleza as if wote tunajua hiyo movie ebu tujue unazungumzia movie ipi?Niko hapa nimemaliza Season 2 episode 2, sijui niandike nini?? maana walio kuja na bus imekula kwao kingine ubishi sio mzuri wenzako wako ndani wewe unakimbia nje au una lala kwenye gari maana yake nini???
Ila kuna sijaelewa yule mzee anaitwa Martin aliwezaje kutupa kamba kwenye shimo???? wakati alkuwa amefungwa
Mkuu unaeleza as if wote tunajua hiyo movie ebu tujue unazungumzia movie ipi?
Niko hapa nimemaliza Season 2 episode 2, sijui niandike nini?? maana walio kuja na bus imekula kwao kingine ubishi sio mzuri wenzako wako ndani wewe unakimbia nje au una lala kwenye gari maana yake nini???
Ila kuna sijaelewa yule mzee anaitwa Martin aliwezaje kutupa kamba kwenye shimo???? wakati alkuwa amefungwa
Binafsi,nilipotezaga mb zangu za bure kudownload hii seriesKuna hii series inaitwa SANTO siyo mbaya pia.
Season 2Nilivyo sio mzuri wa kuelezea sasa
Yaan ni Mazombie lakini Mazombie yao sio Virus ni Fungas, kwa hiyo mji wote unapata hilo janga, waliopona waliwekwa sehemu ili wasiambukizwe,
Sasa kuna binti anaitwa Ellie yeye damu yake inasadikika ni cure wa hiyo fungas maana aling'atwa hakubadilika kwa hiyo jamaa anaitwa Joel anapewa kazi ya kumpeleka kwenye military hospital ili binti achukuliwe sample, hadi kufika hapo sio route ndogo ni purukushani nyingi wanazipitia hatimae wanafika na kugundua kumbe binti anatakiwa afe, yule mzee anakataa kukubali hiyo kitu anamtorosha na kuua wanajeshi wote..... Tunasubiri ssn 2 tujue hatma yao.
Wewe unasema season 2 wakat mzigo unatabiriwa kwenda mpka season 5 maana mapokeo ya mashabiki ni makubwa na HBO wenyew wapo tayar kutoa kitita ili mzigo uendelee wapige faidaSeason 2
Joel atauwawa, ellie atarevenge kifo cha joel
Nshamaliza kucheza kwenye PS4
Season ya kifara sana hiyoBinafsi,nilipotezaga mb zangu za bure kudownload hii series
Hawawezi kufanya hivyo, Joel akifa mapema hivyo series itapoteza ladha, Ellie bado mdogo sana anamuhitaji JoelSeason 2
Joel atauwawa, ellie atarevenge kifo cha joel
Nshamaliza kucheza kwenye PS4
Kabisaaa, mapokeo makubwa hawawezi wakaachia pesa ipoteeWewe unasema season 2 wakat mzigo unatabiriwa kwenda mpka season 5 maana mapokeo ya mashabiki ni makubwa na HBO wenyew wapo tayar kutoa kitita ili mzigo uendelee wapige faida
Hutojutia kuangalia Yellow Jackets, tumemaliza ssn 2, tunasubiri 3 mwakani nadhani.From bonge Moja la series, nimechek mfanano wake google wameniletea yellow jackets, Kuna ambae ashawahi kuiona wakuu
Nimeangalia ep1, niendelee nayo mkuuHutojutia kuangalia Yellow Jackets, tumemaliza ssn 2, tunasubiri 3 mwakani nadhani.
Nimefurahi kuona nina mashabiki wenzangu maana nyumbani hua naiangalia peke yangu kila Mtu anaiogopa
Hutojutia kuangalia Yellow Jackets, tumemaliza ssn 2, tunasubiri 3 mwakani nadhani.
Yellowjacket nzuri huko mpk watu wanakulanaFrom bonge Moja la series, nimechek mfanano wake google wameniletea yellow jackets, Kuna ambae ashawahi kuiona wakuu