Series (Special thread)

Mkuu kwenye hii app ya movie ONSTREAM nimejaribu kuangalia baadhi ya movie kuna vitu kama HD, nafahamu, ila kwenye CAM, TS ndo movie ipo katika hali gani mkuu
Ukiona hawajaweka neno HD hujue hiyo movie bado haijatoka HD yake
 
Nani anaiangalia FROM?
Nipo excited sana what next kwenye ep 9 Donna kayakanyaga.
Nipo nayo chuma chuma yule jamaa ana wenge sana yaani ni shughuli imepata mwenyewe akimuua yule maza bonge watu watakufa sana coz yule maza anasaidia sana watu
 
Nipo nayo chuma chuma yule jamaa ana wenge sana yaani ni shughuli imepata mwenyewe akimuua yule maza bonge watu watakufa sana coz yule maza anasaidia sana watu
Randal ni Bipolar sio mzima yule, Jim atajuta kumuingiza kwenye utafiti wake, na akimuua tu Donna basi mji hautakua salama tena, watu watapanic ukizingatia na chakula kinaisha.
 
Hiyo ya kuwa characters wajinga wajinga ndio kinakera Sana kwenye drama nyingi za kikorea ila kuna zingine zipo vizuri Sana kama innocent defendant, The last, Vagabond
 
Nani anaiangalia FROM?
Nipo excited sana what next kwenye ep 9 Donna kayakanyaga.
Horror yenye akili

Hii series iko Poa Sana. Sema naona tutegemee season 3.

Maswali mengi sana hayawezi yote kujibiwa ndani ya episode 2 zilizobaki.
 
Horror yenye akili

Hii series iko Poa Sana. Sema naona tutegemee season 3.

Maswali mengi sana hayawezi yote kujibiwa ndani ya episode 2 zilizobaki.
Naam, hapo season 3 inatuhusu, yule nightmare creature waliyemuua nilikua namkubali sana muda wote yeye anatabasam huku anaua, nilisikita alivyokufa,

It's crazy.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…