Series (Special thread)

Leta uthibitisho
 
Power book ii season 4 inaenda kuwa vita mwanzo mwisho...
Ni noma. Dogo amekaza mpaka ameweza kuigiza. Kitendo cha kumrudisha demu wake dante kwenye game...monet kumuua mumewe...oh my...hii series inakua fire.

Sijajutia kumuamini 50 cent tangu mwanzo kabisaa wa power..ikiwa s01e03..nimekua mwanachama mpaka leo...

Ahsante sana curtis..Mungu akueke..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
ni hatari sana, familia ya monet inaenda kugawanyika, tejada family inaenda kupotea kwenye game, naona force ikiunganishwa na book ii na kuzaa series mpya kwenye power universe ama muendelezo wa power original...
 
Zipo vizuri hizi Boss??
Ongezea na criminal mind na yenyewe iko vizur sana sema utulie sana maana humo inafundisha zaidi kusoma tabia za binadam na nini wanatarajia kufanya na pengne ukiona mazingira au tukio fulani basi mtendji anaweza kuwa mtu mwenye tabia gani aisee ni nzuri nimeipenda binafsi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…