Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
Lakini piah ukienda movie shop kila season 1 wanakuuzia elfu 2000 ×8 ila utakosa subtitlesNahitaji mwenye 24 ya Jack bour...very good quality na subtle.
Season zote. Awe dar.
Aje inbox....nimetenga bajeti nzuri.
Hakuna kitu kama hicho mzee na hakitakuja kutokeaNimeona trailer ya prison break s06, je lini itatoka?
Ushoga upo kidogoooo saana na sehem ndogo saanaEpisode 1 ya night agent nimeipenda sijui mbele itakuwaje ila inanipa promise ya kuwa ni series nzuri. Sijaona ushoga humo. Nimeona ladha fulani niliyo ikosa muda mrefu baada ya kina 24, mission impossible blacklist tread stone n.k.
Unanishangaza unapo ikubali homeland na banshee halafu night agent unaisagia kunguni
Ushoga upo kidogoooo saana na sehem ndogo saana
Ni kweli hata kwenye prison break ushoga upo ila ndo hivyo wakat huo walikua bado hawajaanza kudai haki zaoHata kwenye 24 ulikuwemo sema ni kwa sababu nyakati hizo watu walikuwa hawajatilia maanani.
Wengi wana very low quality.Lakini piah ukienda movie shop kila season 1 wanakuuzia elfu 2000 ×8 ila utakosa subtitles
Hii nitaiweka kwenye list yanguWanaopenda series za wizi wizi na utapeli. Humu ndani yupo Sara na Alex Mahone wa Prison Break.View attachment 2575250
Inahusiana na nini ungetupa hata story kidogoThe Capture
Hii naona iko underrated ila ni bonge la series ina season 2, ukiianza huwezi kuishia njiani.
Nyingine ni Collateral na Suspicious zote za Uk.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Unaitaka lini nakudownlodia bure kabisaNahitaji mwenye 24 ya Jack bour...very good quality na subtle.
Season zote. Awe dar.
Aje inbox....nimetenga bajeti nzuri.
Haina ushoga Ile mkuu nimeiangalia full.Ushoga upo kidogoooo saana na sehem ndogo saana
Chuma kimesimamaHii chuma kuna aliyeichungulia?View attachment 2563748
Mkuu ipo site gani,nataka nishushe yenye quality nzuri maana miaka hiyo niliangalia za kwenye cdUnaitaka lini nakudownlodia bure kabisa
Mdau hata leo!Unaitaka lini nakudownlodia bure kabisa
Kaichukue net naija ipo kule kila kipande cha S10..Wakuu hii blacklist nipeni link niidownload maana naona telegram s10ep07 mpaka saa hii bila bila