Series (Special thread)

Hivyo ndio kudownload kwa kutumia kupirate kunafanya kazai.

Kwa anayetumia android basi atafute hizi application zitamrahisishua sana.

TORRCROW ( hii ni search engine ya torrents, ina websites zote za torrents )

FLUD , UTORRENT au BITORRENT ( torrents downloader )
 
Aisee am speechless Barikiwa sana hapa ndio nimeelewa vizuri kabisa bila ya swali la nyongeza

Naitafuta sana Series moja inaitwa (Tehran) naweza ipata kupitia process ulizofafanua au?

Ezio Ezio
 
Aisee am speechless Barikiwa sana hapa ndio nimeelewa vizuri kabisa bila ya swali la nyongeza

Naitafuta sana Series moja inaitwa (Tehran) naweza ipata kupitia process ulizofafanua au?

Ezio Ezio
Tumia 1337x.to... kabla fanya kwanza kudownload bittorrent install halafu fanya iwe default torrent...baada ya happo ingia 1337x.to search hiyo series halafu fanya magnet download utakuwa directed kwenda kwenye bittorrent... ni vizuri pia kabla ya kudownload ukaangalia na idadi ya seeders...hiyo itasaidia kwenye muda utakaotumia kudownload
 

Attachments

  • jamii.png
    93.4 KB · Views: 44
  • torrent.png
    35.2 KB · Views: 38
Ahsante sana Kiongozi wangu,barikiwa πŸ™
 
I recommend mini series inaitwa Anatomy of a scandal. Show moja kali sana, just 6 episodes.
 
Huyo jamaa hanaga mambo mengi, yeye ni mkono tu na movie za mission kama Red Notice, we unamwambia story yeye hakuelewi kabisa

Kama unajua series yenye mkono mtajie tu la sivyo utamchomea mwenzako bando bure

Kuna series inaitwa The Terminal list, ni action ila sijapata kuiona. Siku nikitulia lazima niicheki
 
The terminal list nimeiangalia
Episode za mwazoni kwangu zilikuwa zimepoa ila kwanzia episode za kati kati mpaka mwisho
Aiseeh! ngoma ni ya moto
 
Wewe wasema 😁😁😁😁😁
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…