Asante mkuuOnly murderers in the building..iko poa sana ndio mana nasemaga wazungu ni level nyingine akili nyingi sana.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ina mkong'oto unaosababisha usikae vizuri kwenye sofa wakati unaitizama au ni zile zinakufanya unasinzia😑😑😑Kila episode inakutamanisha kujua nini kitafuata.
#MaendeleoHayanaChama
Hakuna ngumi wala mkongoto..ila ni kastory flanj hivi katamu sana...inahusu mauaji yanayotokea katika nyumba ya wapangaji wengi waniita arconia.Ina mkong'oto unaosababisha usikae vizuri kwenye sofa wakati unaitizama au ni zile zinakufanya unasinzia
Hainifai🙁🙁🙁🙁🙁Hakuna ngumi wala mkongoto..ila ni kastory flanj hivi katamu sana...inahusu mauaji yanayotokea katika nyumba ya wapangaji wengi waniita arconia.
Hao watatu Charles..Mabel na Oliver wanajikita kutengeneza podcast kuhusu mauaji ndanj ya arconia huku wakitafuta chanzo cha vifo hivyo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hiyo Westworld & na Dark ile ya wajerumani zinahitaji kutuliza kichwa ni series nzuri sana lakini ngumu kuzielewa.Nasubiri siku akili baina mawenge ndio niziangalie.Moja kati series zilizonivuruga kichwa
Series moja ya mbaya mno,simshauri mtu yoyote apoteze mbs zake kamwe hapa!
Anza ku rikomend wewe. Hasa za actionAny series to recommend nicheki wikendi hii.
Iwe from netnaija naija mana ndio napakuliaga series tokea huko.
#MaendeleoHayanaChama
Majina yake ndio hayo fbi fbi most wanted na fbi international?Wakuu kuna series za fbi,fbi most wanted na fbi international,naona zimetoka season zingine hivi karibuni,ila kila nikijaribu kuzitafuta kwenye pirates bay na 1337× sizioni,anaejua njia nyingine ya kudownload zaidi ya torrent naomba anielekeze
Yah mkiu,ni series 3 tofautiMajina yake ndio hayo fbi fbi most wanted na fbi international?
Most wanted
Ahsante mkuuMost wanted
Zinamkono wa maana?Ahsante mkuu
Ziko fresh,fbi ni season ya 5 sasa,most wanted 4 international ndio season ya 2Zinamkono wa maana?
Rangi - story ya kabla (zamani)Kwa walioangalia Better Call Saul, kuna baadhi ya episode inaanza na black and white. Hivi ile ni inaelezea story ya nyuma au ya baadae?
Ishatoka?See s3e8
Season finale