Series (Special thread)

Kwa walioangalia Better Call Saul, kuna baadhi ya episode inaanza na black and white. Hivi ile ni inaelezea story ya nyuma au ya baadae?
 
Wadau naitafuta hii movie ya zaman kdg,
2010 The year we make contact.

Website ntakayoweza ku'download naombeni link tafadhal, nafaham kuna wajuvi wa mambo haya, msaada wenu tafadhali
 
Hii nimetoka kuimaliza leo kwangu ni bonge la series imekaa poa kila angle kuanzia action na mpangilio wa story

Now nimeianza Reacher iko fresh sana unaweza ukaicheki kama utakuwa interested
 
Hii nimetoka kuimaliza leo kwangu ni bonge la series imekaa poa kila angle kuanzia action na mpangilio wa story

Now nimeianza Reacher iko fresh sana unaweza ukaicheki kama utakuwa interested
Hiyo series iko poa sana...ubabe ubabe tuu
 
Itafuteni series hii "The innocent" ya kispania ya 2021 ni nzuri Sana inahusu jamaa ana kuwa suspect kwenye mauaji ambayo hahusiki nayo na hii ni kwasababu anahistory mbaya baada tu ya kutoka jela kwa kesi ya kuua.wakuu hii series ni fire ina story nzuri yenye unyama mwingi ndani yake
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…