TERMINAL LIST
Inahusu Mambo ya Covert Operations
Seal Team wamepewa op kumfuata mtu fulani, kumbe ni mtego
Wakafa akabaki 1
Huyo mmoja baadae akafatilia akagundua ni setup, na imefanywa na wakubwa wake
Kumbe walipewa dawa za majaribio na majaribio yakaenda vibaya wote wakaota uvimbe kichwani, hivyo wahusika wakaona wateketeze kikosi chote
Baada ya kufatilia na kuua watu wote, akabaki 1 kumbe ni mtu wake wa karibu, na amekuwa naye kwenye op ya kuua wahusika wote