Series (Special thread)

Nimewaambia watu huko juu na uzuri Amazon wameachia episode zote
Oya unaweza kunitajia jina la movie ya horror hii kuna daktari alikuwa anafanya mauaji kupitia hiyo hospital wagonjwa wanajua wakaenda kutibiwa kumbe wanafanyia operation za kimauaji
 
Hivi no mans land imetoka season 2? Nimeikubali sana hii kitu
 
Ntaipakua

#MaendeleoHayanaChama
Nimeicheki nzuri sana asee..masuala ya severance..wana separate memory kati ya maisha yako ya kawaida naya ofisini.

Ukiingia ofisini unasahau ya home..ukitoka ofisini hukumbuki tena ya ofisinj.

Ila lile kampuni sijui walikua na kazi gani za siri wanazofanya..hope season zijazo wataonyesha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bean &bees
Ni series ya mr been ina Episode 8.
Iko pia netflix imetoka June mwaka huu.
Ziko 9 kwa netnaija..ila iko poa sana..nilipenda alivyo unguza ile manual pia alipo vocalise sauti ya yule mdada wa ili kulock na unlock milango


#MaendeleoHayanaChama
 
Jamani nisaidieni series kali kali na link za kudownload
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…