Duuh! Hizi bando zimeumiza watu wengi hata humu kumepooza tangu bando zipande na kwa season 1 au movie mnanunuaje? maana kuna mwana yupo Telegram ukitaka movie au series unamcheck then anakupangia siku uje na hela pamoja na USB flash, external, simu au laptop unachukua mzigo wako na wewe unampa hela.