Series (Special thread)

Wakuu mimi na shida ya majina ya move zile za love stori za migegedo. yani zile ambazo ukimuita demu geto alfu ukaiweka ata usumbuki

Msahada wakuu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ila tatizo imeungwa hadi Season 5 nifanyeje nipate season 2 pekee maana najaribu andika inakataa
Haijaungwa hadi season 5 sema zipo seasons zote 5 😃.
So fuata njia hizi hapa:
1:Fungua iyo link alafu bonyeza magnetic download 🧲.
2:Itakuja windows 2 ya juu itakutaka uchague files ngapi unataka kudownload, So wewe chagua s ason 2 tu zingine deselect.
3: click ok
Itakuonyesha pale inadownload 9.83GB lakini si kweli bali inadownload 1.7GB

Kuna video nimekuwekea kwa chini hapa👇👇
 

Attachments

  • VID_20220527_165538.mp4
    30.9 MB
Mkuu hivi Tehran season1 kama ulielewa....ile emergency ya ndege ilikuwa planned? What if ndege isingepata itilafu na kutua Tehran ingekuwaje?
Ile ilikuwa planned tu, target ilikuwa yule mdada muisrael Tamal ashuke wafanye exchange na yule muiran...so haikuwa na hitilafu wala nini au ilikua hitilafu ndogo ya kutengeneza tu!
 
Habari nzuri kutoka Apple+ tv
 

Attachments

  • Screenshot_20220602-074558.png
    110.3 KB · Views: 101
Wadau kuna series inaitwa The club ya kutoka MEXICO ipo Netflix ila nimehangaika kuitafuta Telegram na kwenye sites za torrent huko kote nimeikosa na najua kinachofanya nisiipate ni jina la kihispania wanalotumia huko...So kama una link nitumie
 

Attachments

  • images.jpeg
    23 KB · Views: 84

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…