Hahahaha yule mwehu nasubiri imalizike yote ndio nishushe ili nikiwa naangalia nisiwe nasubiria kila baada ya week
Yeah! Mkuu anajua kudeal nao na akishakujua hayo maamuzi yake utasema huyu ni chizi sio mzima 😃😃Wewe kama mimi huyu mwehu nasubiri amalizie bila shaka wiki ijayo itakuwa tayari maana leo anatoa ya tisa...ila jamaa ni hatari sana anajua kudeal na rat a.k.a snitchs
Nzur sana season 1 Hadi 4 inatosha kabisaa, mzee John Lock nlimkubal sanaKwenye series ya LOST kuna mambo ya ajabu sana ndani ya kile kisiwa nikikumbuka nabaki kushangaa tu:
1. Kwanza kisiwa hakipo kwenye ramani. Yani unajikuta tu umetokea.
2. Ukiingia hamna kutoka. Japo watu baadae waliweza kutoka baadae.
3. Hauwezi kuumwa ukiwa ndani ya kisiwa.
4. Wanawake wote wanaopata mimba ndani ya kisiwa wanakufa.
5. Sheria za physics hazifanyi kazi kabisa mule ndani.. kwa mfano unaweza ukarusha jiwe juu likachelewa au likawahi kufika.
6. Kuna jamaa kazaliwa miaka ya 1800 lakini hazeeki.
7. Kuna huyo mtu ambae haonekani.
8. Kama ulikuwa unaumwa ugonjwa wowote ukiingia ndani ya hicho kisiwa tayari ushapona!
Hatari sana.. ongezea jambo lililokustahajabisha kwenye hii series kama umewahi kuicheki.
Sahihi, ukichek 1 Hadi 4 inatosha kabisaa. Kunae Michael na Kijana wake WaltSeason 1 mpaka season 4 ya Lost, ni hatari sana.. dah umenikumbusha mbali sana, Kate na mzee Sawyer, good old days.. zilizoendelea niliishia njiani kwakweli, ile time travel ilinishinda
No Man's Land
Hit and Run
What Happened To Oslo / The Girl From Oslo
The Berlin Station
The Spy
Caliphate
When Heroes Fly
La Unidad
Hiyo ya mossad naomba link yakeNo Man's Land na Berlin station nilishaziona
Caliphate na Hit & Run zimenikosha
Nimeshadownload ila bado sijaziangalia
Spy
Mossad 101
Bado nazitafuta
When heroes fly
La Unidad
What happened to Oslo
Hiyo ya mossad naomba link yake
o2tvseries. comNaombeni site ambayo naweza download breaking bad kwa mb za chini.
Chini ya mb 120 kwa episode.
One of my favouriteSeries Kali ya hustle za mtaa nenda kacheki "The Chi" ndugu hutajutia
Wabaya wa Ruth wanajulikana nilijua Kuna siku atawanyoosha..kumbuka alimpiga shoti ya umeme ndugu yake..Aseeh trailer yake inatisha sananamuona Navarro ndani ya chumba cha mateso, FBI wamewaka wanamtaka Marty, huku Ruth amekiwasha na nimeona anampiga mtu risasi sijui ni nani???
Wale wa mcu moon knight tayari ep2 out huyu jamaa Oscar Isaac ni nuksi
Chuma ipo moto balaa... inakuwa released kila alhamis??Wale wa mcu moon knight tayari ep2 out huyu jamaa Oscar Isaac ni nuksi
Kila Jumatano, iko tofauti SanaChuma ipo moto balaa... inakuwa released kila alhamis??
Power heri ile yenyewe yenyewe kidogo, hizi book ngapi zingine overrated sana.. Snowfall storyline yake kali sana, wa moto sana mzigo
List ya Season kali za Drug dealers
BREAKING BAD
NARCOS
QUEEN OF SOUTH
POWER
SNOWFALL