Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Hahahha mimi kwangu ni nzuri tu na zinazungumzia hustle za mtaa kwenye issues za madawa huko UK na huyo mwana kwenye picture anaitwa Dushane na ana rafiki yake huyo ana maamuzi ya ajabu sana na roho mbaya anaitwa SullyKuna huu mzigo, kuna watu humu ndani tayali wameshaucheki, tupeni feedback? View attachment 2162043
Haha uliposema hustle za mtaa pamoja na drugs, tayali umenishawishi...Hahahha mimi kwangu ni nzuri tu na zinazungumzia hustle za mtaa kwenye issues za madawa huko UK na huyo mwana kwenye picture anaitwa Dushane na ana rafiki yake huyo ana maamuzi ya ajabu sana na roho mbaya anaitwa Sully
Bonge la series hii, yule hajaona namuonea wivuBilly butcher is backView attachment 2151228
Huu mzigo niliutafuta sana telegram bila mafanikio.Kuna huu mzigo, kuna watu humu ndani tayali wameshaucheki, tupeni feedback? View attachment 2162043
Upo netflixHuu mzigo niliutafuta sana telegram bila mafanikio.
Naitamani Greys Anatomy ila ina ina season nyingi mno... naikatia tamaa, wish nipate free WiFi. napenda medical series kiaina hii ingenifaaSeries zake nimeona Lost na Alias tu, movies ndio nyingi na yuko poa sana, mission impossible, Star wars, Jurasic park n.k
Zamani ilikuwa balaa mzigo wa greys anatomy mpaka leo ninao season 18 naenda nao tu.. series za siku hizi season 1 unaona kabisa mwisho unakuwaje au season 1 tu chalii
Huu mzigo kuna mtu huko nyuma sijui nani alikuwa akinishawishi niangalie hii series so nilishusha mzigo wa seasons 2 ambazo kila season 1 ina episodes 4 tu.Haha uliposema hustle za mtaa pamoja na drugs, tayali umenishawishi...
Haujawahi ku recommend mzigo mbovu
Upo torrentHuu mzigo niliutafuta sana telegram bila mafanikio.
Ok shukrani mzee, kwa hiyo ili uende nayo vyema ni lazima uanze kuzitazama hizo season 1&2 zenye episodes nne nne kisha ndio uje kwenye hizi zilizopo Netflix?Huu mzigo kuna mtu huko nyuma sijui nani alikuwa akinishawishi niangalie hii series so nilishusha mzigo wa seasons 2 ambazo kila season 1 ina episodes 4 tu.
Ila iyo series ya top boy ukiangalia season 1 & 2 ina utofauti kidogo na season ya 3 maana izo seasons 2 za kwanza kuna dogo humo nae alinikosha alikuwa smart sana aliitwa Ra Nell ambaye alicheza seasons 2 tu na alitakiwa aendelee coz ya kisasi lakini Channel 4 waliipiga chini iyo series kwamba haitoendelea ila Drake akaipenda ikarudiwa na Netflix ndio season 3 ila ikabadlishwa jina na kuitwa Top boy: Summerhouse kwahiyo kwasabu ya rights iyo season 3 ni ya 1 kwa upande wa Netflix na season ya 4 ni ya pili ambayo imeshatoka kuanzia march 18 wengi walirudi ila uyo dogo Ra Nelly tu ndio hatokuwepo kwenye seasons hizi 2 mpya
Telegram haipatikan mkuuHuu mzigo niliutafuta sana telegram bila mafanikio.
Chief, hii ni kali sana.Peaky blinders imenishindaa aisee
Boss ntajitahdi niendeele na season 2Chief, hii ni kali sana.
Katika medical series hii ni ya kwanza aisee.. ni ndefu kweli kweli, sema ni kali sana, utunzi wa gwiji yule yule Shonda Rhimes mwanamama anajua sana sanaNaitamani Greys Anatomy ila ina ina season nyingi mno... naikatia tamaa, wish nipate free WiFi. napenda medical series kiaina hii ingenifaa
Humo wameboa washaingiza ushoga..Ntaianza Mkuu,
Inahusu nn?nipo naangalia BEL AIR hapa ni series moja ya viwango vya fifa kali sana
Series za sasa hivi ni nadra sana kuzikuta hazina hizo ishu mkuuHumo wameboa washaingiza ushoga..
Ndio man coz kule ndio unaanza kuwajua Dushane, Sully na hao wengine ni akina naniOk shukrani mzee, kwa hiyo ili uende nayo vyema ni lazima uanze kuzitazama hizo season 1&2 zenye episodes nne nne kisha ndio uje kwenye hizi zilizopo Netflix?