Series (Special thread)

Breaking bad
Treadstone
Peaky blinders
The punisher
Pennyworth
Better call Saul
Condor
24
Viking
You


Hizi ni series kali sana binafsi nimeenjoy kuziona zote na sijajutia kabisa muda nilioupoteza
 
Atakuwa anaangalia matukio huyo coz huwezi ukataja series za drug dealers ukaiacha Snowfall
 
Shida storyline imepooza sana
Mhhhh! Yaishe mkuu maana ukiulizwa nini kimepooza hautaweza nijibu kwa facts bali utaishia kuongelea mtazamo wako na sio mtazamo wa wengine wengi tunaofatilia iyo series mpaka leo ipo season 5 na kama ingekuwa storyline imepooza it means wangeishia season ya 1 maana ile ni biashara lazima ilete faida na neno la mwisho hakuna series yoyote duniani iliyotoka ikapendwa na wote.
 
Kabla sijaamua kuangalia series huwa naangalia reviews za viewers namba ya seasons.. mara nyingi series zilivuka seasons 3 huwa ni nzuri km sijazipenda lbd tu ni aina ya series yenyewe mfano the Bold and the Beautiful ni moja ya series ndefu sana au Isidingo unafikia unaichoka tu unaiach..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…