Yeah! Waingereza series nyingi zinatokana na vitabu na history za kweli that why zinakuwa nzuri ila kuna siku kuna demu mmoja aliniambia itafute Behind her eyes nikaishusha na kucheck Aisee nilishangazwa na haka ka series kwa jinsi ilivyopikwa sikutegemea kabisa maana series nyingi za relationships inatabiri tu itaishaje ila hii nilishangazwa
View attachment 2080753