Kudownload movie ni mb ngapi?Ipo playstore ila unatakiwa uwe na vitu viwili:
1: Utorrent.
2:Sites ya torrent zipo nyingi ila mimi natumia hii 1337x | 1337x.to Download Free Movies, TV Series, Music, Games and Software
So Nenda playstore download utorrent app then ukishamaliza unaingia kwenye izo torrent sites ambazo kuna movies, series, apps and etc, unachagua movies unayoyataka then una click magnet 🧲 then unachagua kuopen na UTorrent app mzigo unaanza kujishusha.
Mfano upo chini hapo
Hyo inaonesha ni Kali hii series inaitwaje?Huyo aliyeshika maandishi hayo anaitwa nick video yake inasambaa mitandani na inaonesha ikifika views million 5 jamaa anauliwa na watu waliomteka kwahiy familia na polisi wanashirikiana kuzuia isifike views 5M lakin wanashindwa na Nick anaokotwa akiwa amekufa maswali yanabaki ni nani amefanya hilo tukio na kwasababu gani
Ebu nipe story fupi kuhusu hiyo seasonSeason 4 imetoka Jana, Don't Tell about doc Max, nampenda Sana aisee.
Doc Sharpe (Oncologist) nampenda pia khaa.
No timeEbu nipe story fupi kuhusu hiyo season
Hao wenzetu wako serious na kazi.Yeah nashangaaga wanawezaje kuna ile The Resident yule resident ambae dr devon anasema nae hajui chochote... ni scripts tu mzee wanapewa wanaongea kama ilivyoandikwa
Kali zaidi ni Shonda rhimes yule mwanamama kaandika The Grey’s anatomy...Medical drama ambayo ni one of the best japo hana taaluma yoyote ya medicine, huwa wanafanya research sana
Ukiingia iyo site.ya torrent ndio utaona na size za movies piaKudownload movie ni mb ngapi?
Series ya kibwege hii mwanzoniDeep state
Mbele ya moto?Series ya kibwege hii mwanzoni
Mi hata mbele niliiona miyayusho mkuu sikufichi. Bora hata uangalie Six. nilivoona Mark Strong yupo nikajua Kuna maukali kumbe hamna loloteMbele ya moto?
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.The bastard executioner
6.Limitless
7. Jessica Jones
8.The Returned
9.Tyrat
10.Power
Powa ila maudhui yake yakoje?
Umeongea point sana hapo chini ndugu yangu kitu ambacho nimekuwa nikiongea sana sema watu wagumu kuelewa.CIA wamepewa kazi ya kwenda kutuua na wao wakatumiwa watu kuwauwa. Sasa aliyetumwa kwenda kuua amegundua mmoja ya wanaotakiwa kuuuwawa ni mtoto wake. Sasa wakaungana kuanza kutafuta kwa nini wanataka kuuwawa na kuanza kuawawinda wanaowataka wafe. Imehusishwa na biashara ya real estate development na mafuta. Kwamba kuna matajiri huko US wanafund mission km hizo ili baadae waje kunufaika kipesa. It’s really a basic series siwezi icategorize kwenye group la series bora. Narudia tena uzuri wa series unategemea na mtazamaji, inaweza kuwa nzuri kwangu na isiwe nzuri kwa mwingine.
Mtoto wake na kikundi chake walitumwa kazi wakaribu, jamaa akatafutwa ili aende kusahihisha makosa ila wakati huo aliambiwa mwanae amekufa kwenye car bombing, kufika Kule ndo anakutana na mwanaeUmeongea point sana hapo chini ndugu yangu kitu ambacho nimekuwa nikiongea sana sema watu wagumu kuelewa.
Embu nikuulize swali kidogo huyo aliyetumwa kwenda kuwaua aligundua anayetaka kuwaua mmoja ni mtoto wake au aliambiwa walioenda kwenye mission mmoja ni mtoto wake sema ameuwawa ila alipofika ndio kagundua yupo hai?
Hapo ndio nilitaka kumsahihisha au kujua series niliongalia mimi ni tofauti na yake.Mtoto wake na kikundi chake walitumwa kazi wakaribu, jamaa akatafutwa ili aende kusahihisha makosa ila wakati huo aliambiwa mwanae amekufa kwenye car bombing, kufika Kule ndo anakutana na mwanae
series ya Tehran naipata kupitia website ipi
Torrent mbona zipoNimeuliza zerozerozero wakuu .. nimeitafuta kila site sijaipata
Umeongea point sana hapo chini ndugu yangu kitu ambacho nimekuwa nikiongea sana sema watu wagumu kuelewa.
Embu nikuulize swali kidogo huyo aliyetumwa kwenda kuwaua aligundua anayetaka kuwaua mmoja ni mtoto wake au aliambiwa walioenda kwenye mission mmoja ni mtoto wake sema ameuwawa ila alipofika ndio kagundua yupo hai?
Pa1 mkuuYou are right...,Aliambiwa kafa na picha akaonyeshwa....