Series (Special thread)

Ogopa sana hiyo hali mkuu,

Yani mkute mtu umecheck

¶breaking bad
¶GOT
¶prison break
¶vikings
¶24
¶lastship
¶walkng dead
¶strike bck
¶money heist
¶peaky blinders

Na nyingine zenye ukubwa huo, sio rahisi kupata kama hizo hasa ukitaka kuzifananisha na hizo
 
Niko na wewe
%
 
Hii kitu niliitoa kwa rafiki yangu mmoja way back wakati tuko shule, alikuwa anapenda sana conversation, hizo quotes na yale mambo ukiskia kama haujatuliza akili huwezi jua.

Na hii kitu ilinifanya nikaipenda sana PB, BB na GOT
 
Mi mwamba sikupingi kabisa,

Yani ni kama kusema sixnine kapata views 100mil within a day et basi ni msanii mkali kuriko j Cole, au Jayz.

Tupo kwenye kizazi cha tiktok
 
Bro most watched series au movies sio kigezo cha kuwa bora moja kwa moja,

Kuna vigezo hutumika, harafu breaking bad imetoka wakati gani! Kwa wakati huu et utaambiwa stranger things iko juu ya 24 ama hata PB kwa maelezo yako et!

Ndio maana utakuta nyimbo ya Michael Jackson iko na views wachache compared na watoto wa saivi ambao hawana hata nusu ya uwezo wa mj

Ukikuta watu ambao wako vizuri kwenye series au movie kamwe, narudia tena kamwe usije iweka money heist na breaking bad, PB, au hata vikings
 
Most watched sio kigezo cha movies kuwa bora moja kwa moja.....Tuanze hapa nini kinafanya watu waangalie tv show hii kwa wingi na kuacha hii?

Tuanze hapo tu tunapeana elimu
 
Uukikuta watu ambao wako vizuri kwenye series kamwe usije iweka money heist na Breaking bad, prison break au hata vikings.

Swali: Watu ambao wapo vizuri kwenye series wanakuwa na uwezo upi kwenye kujadiri movies?
 
Sorry wakati Michael Jackson anatoa nyimbo watumiaji wa smartphones hawaakuwa wengi yaani kiufupi Watu hawakuwa na smartphone na nyimbo nyingi tunaangalia kwenye TV hata internet. So usipendelee huu mfano kuweka kwenye TV shows.
Pia kinachomfanya MJ kuwa bora ana tuzo nyingi za heshima na mauzo yalivunja records hivi ingekuwa ana utunzi mbovu angechukua tuzo au kuuza izo albums?

Twende kidogo kidogo ndugu yangu tupeane shule
 
Hizi series zako mkuu sio kali kwa mujibu wa IMDB 😂😂😂 series kali za muda wote hapo kwako ni moja tu Breaking Bad. Unafikiri why series zako ulizotaja sio kali ukiachana na Breaking bad kwa mujibu wa IMDb na zinazidiwa na Chernobyl, Avatar wala The wire?
 
Most watched sio kigezo cha movies kuwa bora moja kwa moja.....Tuanze hapa nini kinafanya watu waangalie tv show hii kwa wingi na kuacha hii?

Tuanze hapo tu tunapeana elimu

Ni Intelligence.. sababu inaweza kuangaliwa na watu wa uelewa tofauti hata watu simple ila hiyo sio sifa ya series kuwa bora , series bora inakuwa haina plot holes nyingi, kuna character development inayoeleweka kunakuwa na unexpected twist ambazo zina blow your mind kama zile sudden deaths za GOT, mpangilio wa storyline pia inakuwa na Memorables characters

Level of intelligence bro inachangia kuna series ni Animation inaitwa Ricky and Morty ile Series ni kali aisee ila mtu wa kawaida tu hivi hawezi akaiangalia wala akaiona interesting na I doubt hata kama unaijua sasa nenda kaifuatilie reviews zake uone. Watu wanaoiangalia mpaka kina Elon Musk
 
IMBD ni utumbo?😂😂😂😂
Tumalize nusu ya huu mjadara, niwekee vyanzo unavyoviamini wewe, ambavyo vinaonesha Money Heist ipo katika walau series 15 bora kuwahi kutengenezwa, maana nikikuambia 10 nitakuwa nakuonea.
mkuu naomba top 20 ya series zako all the time...lazima ndapata kitu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…