Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,165
- 123,285
Inawezekana ndio maana unaona nimeshindwa kwasababu chance imetoka kwa failure mjingaambaye anakataa maoni ya watu yasitumike kama hoja at the same time tunamuona anatumia maoni yawadau kutoka reddit as evidenceNimekupa chance embu screenshot ya walipinga kwamba Peter Quinn kamla Carrie Mathison? Weka hapa watu waone mimi muongo maana nimeleta screenshot ya uongo maana huwezi na hakuna kitu kama icho ilo mimi naishusha iyo episode sasa hivi nionyeshe umma humu kwamba wewe umeangalia na upo sahihi