Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
Inategemea unataka zenye ubora gani kama ni 720p nenda piratesbay.com kama unahitaji quality ya kawaida o2tvseries.comGuys.. Naombeni Site Nzuri kwa Ku Download Series. Msaada plz.
Inategemea unataka zenye ubora gani kama ni 720p nenda piratesbay.com kama unahitaji quality ya kawaida o2tvseries.comGuys.. Naombeni Site Nzuri kwa Ku Download Series. Msaada plz.
Telegram simple and fastGuys.. Naombeni Site Nzuri kwa Ku Download Series. Msaada plz.
Nenda telegram utazipata zote mimi ndio nashusha kulekwa anaefatilia series za Tyler Perry naomba link
Nenda Google vuta apk ya cinema hd ila subtitle jau.Masada naombeni link ya series who killed Sara? Season 1 maana nazo download episode ya 1 mara sauti haitoki na kuscratch hata iwe telegram au torrent
Shukrani broNenda Google vuta apk ya cinema hd ila subtitle jau.
channel ya berlin station sijabahatika kuiona huko telegram, kama kuna channel unayoifahamu iliobeba series hiyo kuanzia season 2 naomba unisaidieNenda telegram utazipata zote mimi ndio nashusha kule
Kwa sisi wa kupendelea subtle telegram ni issueMm huwa natumia telegram hizi site zingine huwa zinazingua sana
Tatizo ni issue kupata movi3 au series yenye subtle so wapenz wa subtleties tunapata changamoto, kama una namna ya kutuelekeza tusaidie mzeeTelegram simple and fast
Nawezaje kupata subtitle mle mzeeNenda telegram utazipata zote mimi ndio nashusha kule
Ipo man kule hakuna kilichoshindikana si hapo chini nimeipata.channel ya berlin station sijabahatika kuiona huko telegram, kama kuna channel unayoifahamu iliobeba series hiyo kuanzia season 2 naomba unisaidie
Subtitle ngumu naona ni baadhi ya movie za kichina lakini subscene na addic7ed ndio best sites za subtitle na channel nyingi siku wanakupa au wanaweka English versionNawezaje kupata subtitle mle mzee
nikitumia njia hii zinakuja channel tatu lakini zote zipo emptyFanya hivi ukiingia kwenye telegram andika jina la iyo movie or tv shows zinakuja zote mzee kama iyo Berlin station nimefanya ivo ikaja iyo.
ok hii channel ndio imenipa hiyo seriesNa iyo channel fanya kujoin maana ukitaja best channel telegram ambazo zipo latest iyo ni mojawapo
Poa poa man ila iyo ya kusearch ndio njia yangu kubwa kwa mfano jana niliuliza kuhusu nani amedownload series ya who killed Sara season 1 na kuangalia vizuri ila nikarudi nikasearch kwa jina ilo la kizungu zikaja zote chenga nikarudia kwa jina la kihispania ndio ikaja channel iyo ya kihispaniola version nzuri nikashushanikitumia njia hii zinakuja channel tatu lakini zote zipo empty
ok hii channel ndio imenipa hiyo series
ahsante sana
Hii unaipataje mkuu, nitashukuru ukinipa directions zaidi namna ya kuzipataSubtitle ngumu naona ni baadhi ya movie za kichina lakini subscene na addic7ed ndio best sites za subtitle na channel nyingi siku wanakupa au wanaweka English version
Mbona almost all players zote zina support subtitle searching, pia kuna baadhi ya video wana encode na subtitle ata sometimes audio track mbili kabisa tujiongeze tu.Tatizo ni issue kupata movi3 au series yenye subtle so wapenz wa subtleties tunapata changamoto, kama una namna ya kutuelekeza tusaidie mzee
Jamaa kaelezea vyema hapaMbona almost all players zote zina support subtitle searching, pia kuna baadhi ya video wana encode na subtitle ata sometimes audio track mbili kabisa tujiongeze tu.
Google kuna website nyingi tu popular ni hizi kwa ajili ya subtitle
1. Getsubtitles.com
2.Subscene.com
3.Opensubtitles.com
Video Players(phone)
1.Mx player
2.Play it
3.Vlc
Laptop
1.BS.PLAYER (Personally naitumia hii ukiwa na data uki open movie tu ina search subtitle kazi yako ku-click download, ina extra features kama online radios, audio player etc.
Enjoy