Mzee pengine labda huko mbeleni itachangnya ila kwa hapa nilipofikia naiyona yakawada sana tofauti na inavyo kuzwa.Kaka unazingua iyo kitu ni yamoto mie nimeirudia mara 3 ya kwanza 2015 ,2016 ,2020 hii ndo season kalii ya muda wote tokea dunia iumbwe
My perspectively 24 imesimama vyema zaidi kuliko hii breaking badKwangu mimi hi breaking bad niliipenda sana haina action ila iko na visa vizuri
Siku zote heavy machine inaanza na speed ndogo sana lkn kadri inavyo sogea ndio speed huchanganya zaidi so keep going, lkn unaonekana ni MTU wa kupenda matukio , best series everMzee pengine labda huko mbeleni itachangnya ila kwa hapa nilipofikia naiyona yakawada sana tofauti na inavyo kuzwa.
Kwa nilipoifikia hapa bado sijaona dalili za kumpiku 24
Ngoja niisikilizie niko season ya 2 episode ya 5 ila bado zile hamsha hamsha hazipo labda huko mbeleniSiku zote heavy machine inaanza na speed ndogo sana lkn kadri inavyo sogea ndio speed huchanganya zaidi so keep going, lkn unaonekana ni MTU wa kupenda matukio , best series ever
Hii breaking bad nipo season ya kwanza episode ya 7 lakini naiona kama imepoa vile
Nilishaanza kukata tamaa nianze kuangalia NARCOS ila wengi mmeni inspaya ngoja niimalizieSeason 1 iko hivyo, mimi niliwah angalia episode 3 nikaacha, baada ya miezi mitatu nikairudia tena, nilivyofika season 2 nikajiuliza nilikuwa wapi siku zote?
Mzee Breaking Bad ni kali sana, hutajutia muda wako!
Nilishaanza kukata tamaa nianze kuangalia NARCOS ila wengi mmeni inspaya ngoja niimalizie
Ko Narcos na Narcos Mexico ni tofauti?,maana mi nishaiangalia narcos mpaka season 2Fanya hivyo, mi mwenyewe narcos ilinishinda mwanzoni tu ngoja niianze tena, then niangalie na narcos mexico
Ko Narcos na Narcos Mexico ni tofauti?,maana mi nishaiangalia narcos mpaka season 2
Daah mbona unanikatisha tamaa, bayo narcos kumbe miyeyusho?Fanya hivyo, mi mwenyewe narcos ilinishinda mwanzoni tu ngoja niianze tena, then niangalie na narcos mexico
Kadri unavyo chanja mbunga ndio inanoga,,hutajutia muda wako Mzee makovu.Ngoja niisikilizie niko season ya 2 episode ya 5 ila bado zile hamsha hamsha hazipo labda huko mbeleni
Acha kufananisha Breaking Bad na mambo ya kipuuzi aisee!!!My perspectively 24 imesimama vyema zaidi kuliko hii breaking bad
Uyu mzee alivonyoaga nywele ndo nilianza kumpendaAcha kufananisha Breaking Bad na mambo ya kipuuzi aisee!!!
Unaijua 24 au unaisikia?Acha kufananisha Breaking Bad na mambo ya kipuuzi aisee!!!
Hiyo Peaky blinders niliangalia nikapiga chini!Niko season 3 episode 4 ila bado sioni moto unaozungumziwa ngoja niivumilie labda mbele iko vizuri mana hata Vikings mwanzon inaboa ila mbele ni moto
Inaitwaje hiiNipo na arosto ya huu mzigoView attachment 1621262
Imepoa sijui wamaisifia niniHiyo Peaky blinders niliangalia nikapiga chini!