Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hata kama haupendi Series za masuper heroes,huwezi chukia hii:THE BOYS,moja ya series kali kutoka AMAZON
latest

the-boys-1599827224.jpg
tb_262372899219021-2000.jpg
the-boys-season-2-trailer-cast.jpg
Nlivyoanzaga kuicheki, ilinishida episode ya kwanza tuu, nikaitema. Nilipowapa madogo zangu waione, wakasema nzuri. Wakanipa moyo kidogo. Mwaka mmpja baadae, nikaanza kuiangalia tena. Pisode one nimeona zaidi ya mara tano, na nilipokuja kuendelea, ndio nikaona uzuri wake.

Kama hupendi superheroes, tazama hii mambo. Utafurahia maisha. Maana kuna kila ambacho superhero movies wanazinguaga.
Nzuri sana.
 
Kweli kabisa..

Mfano mie naipenda sana Show Moja inaitwa Sheriff Longmire..

Lakini ukweli The wire na Breaking Bad ni show bora zaidi ya My favorite show.

Shida yetu sisi tuko biased Sana.. ukipenda tu basi hiyo ndio bora... Hisia zinatutawala.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mi napendaga kilicho bora. Ndio maana ninaipenda sana Power (2014) na nilibahatika kuitazama tangu wapo season 1 episode 3.

Niliwafikia faster na nikawa natazama kila wiki mpaka ilipoisha, Season 6 episodes 10+5.

Sasa wana book II, ah, moto wake sio kiviile.

Ila ni fan mzuri sana wa The Flash, kila wiki mzee, wale ni wanangu wa ukubwani, kama vile ninavyoangaliaga shows za Trevor Noah..za Daily Show. Au The Thunderman (Sitcom) ya Nickelodeon

Washkaji zangu wengine ninaowaelewa ni Westworld (2016) akili nyingi
 
Nlivyoanzaga kuicheki, ilinishida episode ya kwanza tuu, nikaitema. Nilipowapa madogo zangu waione, wakasema nzuri. Wakanipa moyo kidogo. Mwaka mmpja baadae, nikaanza kuiangalia tena. Pisode one nimeona zaidi ya mara tano, na nilipokuja kuendelea, ndio nikaona uzuri wake.

Kama hupendi superheroes, tazama hii mambo. Utafurahia maisha. Maana kuna kila ambacho superhero movies wanazinguaga.
Nzuri sana.
Superhero nyingine ya mavel inaitwa
Daredevil hiyo pekee ndiyo nimewahi kuiangalia jamaa mmoja kipofu lakini anapiga mkono Ile mbaya
 
Nimeipenda sana Being Mary Jane, voz nampenda sana Gabrielle Union. Ingawa niliishia season 2 (na natafuta mpaka leo season 3 na 4)

Kama kuna series ingine ya Gabrielle Union au hata black Americans, nitafurahi kuitazama.

Yes, na Power nishaiona yote, season 1-6. Naivutia kasi Power: Book II
Gabrielle Union, namkubari pia, humo kwenye MaryJane alifanya poa sana, nmeangalia mzigo wote, season 5
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom