Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,232
- 79,759
Uyu ni mgeni kwenye mambo ya season hawa ndo wale waliozoea zile season za MTU mmoja kapiga kundi La watu 20 paka 30😁😁😁Acha kufananisha Breaking Bad na mambo ya kipuuzi aisee!!!
Uyu ni mgeni kwenye mambo ya season hawa ndo wale waliozoea zile season za MTU mmoja kapiga kundi La watu 20 paka 30😁😁😁Acha kufananisha Breaking Bad na mambo ya kipuuzi aisee!!!
Ajui kuwa hiyo ndo season kalii toka dunia iumbwe na ndo yenye rating kubwa IMDbAcha kufananisha Breaking Bad na mambo ya kipuuzi aisee!!!
Snowfall... Inahusu drugs, ila imebase kwenye miaka ya 1983Inaitwaje hii
Hiyo series ni kali sana.Snowfall... Inahusu drugs, ila imebase kwenye miaka ya 1983
Miaka yotee ule motooo mwinginee...!! Inafata Breaking Bad aiseee...NGOJA NIENDELEE KUWA TOTO DOGO MKUU,LAKINI TAMBUA HAKUNA SERIES THE BEST KAMA PRISON BREAK NA HAITOKAA ITOKEE
Being MaryJaneSeriea gani ya drama na mapenzi nzuri????
Prison break!Series yenye Mauchline ya kama money heist wakuuu msaaada kwenu nataka k
Niishushe
Nimesha ona kitambo sana hyo mkuuuPrison break!
24?Nimesha ona kitambo sana hyo mkuuu
Tayari mkuu
Kama 24 uliipenda basi cheki Homeland!Tayari mkuu
Ok sawa mkuu ngoja nimalizie Berlin stationKama 24 uliipenda basi cheki Homeland!
Iko vizuri?Inahusu nini?Ok sawa mkuu ngoja nimalizie Berlin station
24 niliipenda sana. Mpaak ikabidi niangalie na 24 Legacy aisee.Kama 24 uliipenda basi cheki Homeland!
24 legacy wamezingua!24 niliipenda sana. Mpaak ikabidi niangalie na 24 Legacy aisee.
Ngoja nitatest homeland then nitasema
Wamezingua kwa kweli. Japo si haba24 legacy wamezingua!
Nimeipenda sana Being Mary Jane, voz nampenda sana Gabrielle Union. Ingawa niliishia season 2 (na natafuta mpaka leo season 3 na 4)Being MaryJane
Insecure
Sistas
Virgin River
Game People Play
If Loving You Is Wrong
Ambitions
The Haves and Haves Nots
Saints and Sinners
Greenleaf
Queen Sugar
Boomerang