Unafungua episode ya kwanza while ina play unaclick 3dots juu ya player,unakuta option ya subtitle Kama inavyoonekana kwenye picha ya kwanzaNdo ninayotumia, wananambia no subtitles while nshashusha mzigo
Asante Sana rafiki. Hii MX player naitumia nadhani ni mwaka wa 3 Sasa. Mf Fauda nimedowload subtitles as u explained.Unafungua episode ya kwanza while ina play unaclick 3dots juu ya player,unakuta option ya subtitle Kama inavyoonekana kwenye picha ya kwanza
Ukisha bonyeza subtitle zitakuja option nyingi, utaclick "online subtitle" Kama picha namba mbili inavyoonesha
Hakikisha kila episode inakua na hiyo title ya series mfano angalia picha ya tatu ndiyo utaweza pata subtitles zake online, then unatick kibox cha "enter your search text"
Ikisearch vizuri utapata popup window ya file la subtitle according to such episode then utaclick kibox utaona kwa chini upande wa kulia utaclick download then ikimaliza itaandika successful download then endelea kuwatch na english subtitle : rejea picha ya nne
View attachment 1591320View attachment 1591325View attachment 1591335View attachment 1591348
mtoa mada nomba kujua hio mx player ukidowlid ndio unatumia kutizamia hizo series eeh?Asante Sana rafiki. Hii MX player naitumia nadhani ni mwaka wa 3 Sasa. Mf Fauda nimedowload subtitles as u explained.
So hata hii Tehran nadhani Kuna some errors kwenye device yangu. Ngoja nikeep trying. Thanks once again
Wewe sema una Netflix [emoji41][emoji41]Hua sipakui series hua nanunua sehem
Japokuwa sio mm nimeulizwa napenda njibu kama hutojalimtoa mada nomba kujua hio mx player ukidowlid ndio unatumia kutizamia hizo series eeh?
Hata mimi nimeona ya kawaida sana!Nimeiangalia iyo The Wire ,niko season 3 saivi
Season 1 niliipenda , 2 sikuipenda walivoingiza wazungu, 3 nayo nzuri baada ya kurudisha manigga ,mishe za String na muuni Avon baada ya kutoka jela
Kiujumla ni nzuri ila sio kwa levo ambayo ilikua inasifiwa humu...ila...sijui...ngoja niendelee kuangalia
Itakua umewazoea wakorea wale wa skuiz! Mzee the wire ni Mashine unaiangalia kwa papara itakuaNimeiangalia iyo The Wire ,niko season 3 saivi
Season 1 niliipenda , 2 sikuipenda walivoingiza wazungu, 3 nayo nzuri baada ya kurudisha manigga ,mishe za String na muuni Avon baada ya kutoka jela
Kiujumla ni nzuri ila sio kwa levo ambayo ilikua inasifiwa humu...ila...sijui...ngoja niendelee kuangalia
The wire imepoa sana!Kila ikitaka kuchanganya inapoa!Itakua umewazoea wakorea wale wa skuiz! Mzee the wire ni Mashine unaiangalia kwa papara itakua
Pamoja mzeeUmetisha mzee baba, ndo mambo yangu haya, ukiwa na idea na nyinginezo za mahadhi kama haya nistue mkuu.
Vyanzo mbali mbali vya kuaminika kwenye maswala ya ku rate ubora wa movies na series vinaitaja The Wire ni moja kati ya series bora kabisa dunianiThe wire imepoa sana!Kila ikitaka kuchanganya inapoa!
Ni saa 8 na robo usiku sasa Homeland imeniteka kabisa. S2 ep 6
Je unakuwa online au watakt unachek ambazo umezishusha tayrUnafungua episode ya kwanza while ina play unaclick 3dots juu ya player,unakuta option ya subtitle Kama inavyoonekana kwenye picha ya kwanza
Ukisha bonyeza subtitle zitakuja option nyingi, utaclick "online subtitle" Kama picha namba mbili inavyoonesha
Hakikisha kila episode inakua na hiyo title ya series mfano angalia picha ya tatu ndiyo utaweza pata subtitles zake online, then unatick kibox cha "enter your search text"
Ikisearch vizuri utapata popup window ya file la subtitle according to such episode then utaclick kibox utaona kwa chini upande wa kulia utaclick download then ikimaliza itaandika successful download then endelea kuwatch na english subtitle : rejea picha ya nne
View attachment 1591320View attachment 1591325View attachment 1591335View attachment 1591348
Je unakuwa online au watakt unachek ambazo umezishusha tayrUnafungua episode ya kwanza while ina play unaclick 3dots juu ya player,unakuta option ya subtitle Kama inavyoonekana kwenye picha ya kwanza
Ukisha bonyeza subtitle zitakuja option nyingi, utaclick "online subtitle" Kama picha namba mbili inavyoonesha
Hakikisha kila episode inakua na hiyo title ya series mfano angalia picha ya tatu ndiyo utaweza pata subtitles zake online, then unatick kibox cha "enter your search text"
Ikisearch vizuri utapata popup window ya file la subtitle according to such episode then utaclick kibox utaona kwa chini upande wa kulia utaclick download then ikimaliza itaandika successful download then endelea kuwatch na english subtitle : rejea picha ya nne
View attachment 1591320View attachment 1591325View attachment 1591335View attachment 1591348
Kama ni comedy mimi sikomi kuitazama na kuirudia tena na tena TV series ya SHAMELESS Season 1-10 na sasa naisubiria season (11) ya mwisho ambayo ipo kwenye maandalizi soon itaachiwa hewani, japo kuna promotion kubwa ya maubwabwa na usagaji inafanyika humo lakini nimeipenda sana hii kitu.jamani wa comedy hamna? nimeishiwa stock
Nimeangalia the office na kuirudia kama mara nne, sillicon valley
Naombeni series za comedy