Series (Special thread)

Wakuu nimeangalia Cursed ipo vizur, mwenye kujua season nyingne yenye genre ka hii tafadhal
 
I recommend outer banks!

Ni series inayomuhusu kijana John B anayeamua kuingia mzigoni kutafuta dhahabu ambazo zilizama na meli ya matajiri (royal merchant) miaka 150 nyuma na kipnd chote hcho watu mbali mbali wamejrbu kutafuta ikiwemo baba yake aliyespend 20 yrs kuresearch na alifariki kwa kupotea kutokana na issue hyo...
Ina season 1 imetoka april 2020 and soon season 2 itatoka.!!
 
Hii kwangu ndio series bora kabisa iliyowahi kutoka katika "kapu" la Netflix. Naisubiri season 3 kwa hamu.
Kwangu Mimi katika series Bora za Netflix zenye story nzuri, za muda wote tangu niangalie series zao na kukufanya ushangae na kujiuliza mda wote Basi ni MONEY HEIST & DARK....
Hii Dark nilidownload season zote 3 nikaweka kiporo nikaanza nayo kuanzia alhamisi ya wiki iliyopita hadi leo nipo S03e07 si mchezo mzee hadi unasema hii ndo series sasa ya mtu mzima kukaa na kuangalia sio series hata mtoto mdogo akikaa unajua mwisho wa siku itaishia wapi.... Hapa netflix na wajerumani wamecheza Sana naipa 9/10 kwa upande wangu. πŸ‘πŸ‘πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ichambue kidogo hiyo Dark tuone tunafanyaje
 
Minyanduano ipo?
 
Kuna jamaa aliielezea hapa huko nyuma ndo kanifanya niitafute mzee
 
Dark ni mashine kubwa sana kutoka kwa Wajerumani. Hiyo ngoma nilivyomaliza kuangalia season 1 tu, moja kwa moja nikaiweka katika list ya classic TV series ambazo nimewahi kuzitazama.
 
Inaboa,kwa mtu anayeelewa series asipoteze mda kudownload the wire,atajikuta na matarajio makubwa kumbe series ya kawaida!
It's very hard kwa mtu anayeangalia series to never like the wire.. it's not about quality of the pictures but the mastery of telling the story from a milion perspectives, paired with greaat acting.. in modern television that's a Monalisa of the TV shows. But again taste is personal.. and you are first person (that I know) to ever find the wire boring ..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwingine hapo juu naye kaona kama nilivyoona mimi!Story imepoa,ikielekea kuchangamka basi scene inayofuata inaipoza!Kiufupi nimejilazimisha mpaka nimemaliza seasons 3 kwa tabu sana!Nimeishia hapo hapo!
 
Wakuu nataka nianze kuicheki Fauda, vipi mlioiangalia mnaipa marks ngapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…