Series (Special thread)

wakuu kuna mtu kaniletea series ya colony nimeichek now niko seson 1epsod ya 5 japoo naangalia kivivu sanaa....!!
wakuu kwa ambaye ameiangalia hii series inaeleweka au miyeyusho..!!? masaad tafathali
 
Na-recommend series hii kwenu.

THE PURGE (Complete season 2)

Kwa kifupi tu, show nzima inazungumzia siku maarufu zaidi kwenye mwaka huko marekani, siku ya ku-purge (sijapata neno zuri la kiswahili).

Serikali ya marekani inaamua kuweka siku maalum kwenye mwaka ambayo act yoyote ya uhalifu kwa siku hiyo inakuwa legal (inaruhusiwa), The Purge day!

Kwahiyo siku hiyo unaruhusiwa kufanya uhalifu wowote.. Ukitaka kuua, kuiba, na kufanya chochote kile unaruhusiwa.

Lakini kumbuka, kwa mwaka ni siku moja tu! Inapoingia siku nyingine hata kama ulikaribia kuua, unaacha unasubiri mwakani tena!

Hii ingeletwa kwetu huku sijui ingekuaje.. Mimi ningeanza na wadeni wangu!

Anyway! Hili ni bonge moja la show, sio ya kukosa.. Ambao tayari wameshaiona wanaweza kuthibitisha hili.
 
Nimeicheck hii mzee season 1 Ni nzuri Sana hasa kwenye story na jinsi walivyoconnect matukio baina ya wanasiasa, wafanyabiashara, wafanyakazi na mabosi wao pamoja na familia na kuleta muunganiko mzuri uliendana na title ya series.... Yaani humo mtu umemfanyia ubaya Basi iyo siku ni ya kutoa grudge zote juu yako.... Ngoja nipunguze viporo vyangu ili niishushe season 2
 
Keep watching mkuu

Season 2 inaanza walipoishia kwenye ile siku ya purge na wahusika tofauti kabisa na wale wa mwanzo.

Inaanza kwenye scene ya wahuni flani hivi ambao waliamua kuiba benki.
Sasa wadau walikuwa tayari wameshapanga maburungutu yao ya pesa kwenye mabegi, wanagawana kila mmoja atatoka na la kwake tayari kwa kusepa nayo.

Wakati wanatoka benki wakasahau begi moja.
Kuna jamaa si akataka kurudi bhana! Wenzie wanamwambia kausha! Muda wa purge umeisha.. Jamaa anawajibu kwamba he can make it!

Akarudi bhana.. Ile kutoka tu kwenye mlango na muda huo huo purge ndio inaisha na yeye alishatoka mwili mzima isipokuwa mguu tu!

Ikawa tayari ni illegal.. Wenzake ikabidi wamkatae.

Kuna visa vyengine vingi vinajitokeza kwenye season ya 2 japo haijachangamka sana kama season ya 1.
 
Jaman mwenye link ya hizi short series Most dangerous game na Fugitive naomba maana mim source zangu zote nimezikosa
 
Keep watching mkuu

Season 2 inaanza walipoishia kwenye ile siku ya purge na wahusika tofauti kabisa na wale wa mwanzo.

Inaanza kwenye scene ya wahuni flani hivi ambao waliamua kuiba benki.
Sasa wadau walikuwa tayari wameshapanga maburungutu yao ya pesa kwenye mabegi, wanagawana kila mmoja atatoka na la kwake tayari kwa kusepa nayo.

Wakati wanatoka benki wakasahau begi moja.
Kuna jamaa si akataka kurudi bhana! Wenzie wanamwambia kausha! Muda wa purge umeisha.. Jamaa anawajibu kwamba he can make it!

Akarudi bhana.. Ile kutoka tu kwenye mlango na muda huo huo purge ndio inaisha na yeye alishatoka mwili mzima isipokuwa mguu tu!

Ikawa tayari ni illegal.. Wenzake ikabidi wamkatae.

Kuna visa vyengine vingi vinajitokeza kwenye season ya 2 japo haijachangamka sana kama season ya 1.
Daah! Sema sad news ni kwamba wameicancell kuitoa tena so ndo imeishia hapo season 2 haitotoka tena 😔😔😔
 
Wakuu msaada site ya kushushia series, nimejaribu torrent lkn inagoma,mara ya mwisho nilikuwa natumia fmovies, lkn nayo kwa sasa ni movies tu ndio nashusha,mwenye kufaham site nzuri anisaidie
 
Ile ni kama kwenda mji mpya.. pataanza kunoga ukiijua mitaa na vichochoro, kuwajua wenyeji na mwisho ukiwapata marafiki baaasi.

Uhusiano wa The Wire ni uhusiano wa Utaratibu. Haikupi raha siku hiyo hiyo go in mpk e4+ ndio utaanza kuelewa na kila kinachopita kitaanza make sense.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
The wire hamna series,niko season 3 ils haijanivutia!
Ya kawaida sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom