Mkuu naomba download link ya Gharabeeb Soud.Natanguliza shukrani.Mhhh! Ni chache Sana nilizoangalia ambazo kwa haraka haraka ni
Tyrant (iliishia s03)
Homeland
Fauda
Gharabeeb soud
American Odyssey (Bonge la series Ila ilisitishwa baada ya kuonekana inatoa Siri za jeshi la marekani kuwatekeleza na kuua wanajeshi wake waliokwenda kwenye missions).
Ndo izo mkuu Ila zingine zinakua zinadeals na conflict na siasa za mashariki ya kati kwa vipande vya episodes then inadeals na vitu vingine kama:
Jack Ryan
Strike back
The blacklist
Unaweza kuangalia zingine hapa ambazo sijaangalia 👇👇
Category:Terrorism in television - Wikipedia
[emoji23] [emoji23] Acha anahuyu mtu anatoash*t sana.Kama hujaiona Jackryan itafute..View attachment 1492739
Oi mwamba hiyo Hanna inaeleweka?Loading... View attachment 1492678
Iko vizuriOi mwamba hiyo Hanna inaeleweka?
Sana hutojuta kupoteza muda wako kuangalia.Iko vizuri
Mhhh! Ni chache Sana nilizoangalia ambazo kwa haraka haraka ni
Tyrant (iliishia s03)
Homeland
Fauda
Gharabeeb soud
American Odyssey (Bonge la series Ila ilisitishwa baada ya kuonekana inatoa Siri za jeshi la marekani kuwatekeleza na kuua wanajeshi wake waliokwenda kwenye missions).
Ndo izo mkuu Ila zingine zinakua zinadeals na conflict na siasa za mashariki ya kati kwa vipande vya episodes then inadeals na vitu vingine kama:
Jack Ryan
Strike back
The blacklist
Unaweza kuangalia zingine hapa ambazo sijaangalia [emoji116][emoji116]
Category:Terrorism in television - Wikipedia
Bado sijaanza kuiangalia mzee Kuna kiporo series moja matata Cha ingobernable s02 nimekimaliza Jana aiseeMrejesho kuhusu Dark
Mimi wangeniuzi hao watu wapya wangekuwa hawajui kuigiza Ila wako vzri Sana kwa upande wangu so mzigo ni ule ule tu action mwanzo mwisho.Strike Back waneniuzi kuwaleta wale character wapya [emoji51]
Tyrant ndio sijui imefungiwa hawezi chezwa tena maana ni muda mrefu sana kimya alafu imeishia kienyeji sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yuko kazini hakuna kuremba.Chloe muda wote kanuna
Jack Bauer baba lao
24 ni noma sana.Baba laoooo
Hata prison break ilikuwaa hivi hivi, mwisho wa siku ikawa extendedWapenzi wa money heist,, Netflix wamesema season ya 5 ndiyo ya mwisho, View attachment 1523132
Mwisho wake utakuwa mbaya kama kumetokea matatizo Ila kama hkna matatizo basi ni njia mojawapo ya kupiga helaWapenzi wa money heist,, Netflix wamesema season ya 5 ndiyo ya mwisho, View attachment 1523132
Nimekuwa naipigia mahesabu sasa kwa comment yako hii nitaiangalia.Sana hutojuta kupoteza muda wako kuangalia.
Hapa tuko pamoja namalizia hiki kiporo nianze Hanna.Bado sijaanza kuiangalia mzee Kuna kiporo series moja matata Cha ingobernable s02 nimekimaliza Jana aisee
Angalia alafu Ukimaliza kuangalia usiache kunitag baadaye [emoji4] nikupe nyingine.Nimekuwa naipigia mahesabu sasa kwa comment yako hii nitaiangalia.
Sawa mkuu shukranAngalia alafu Ukimaliza kuangalia usiache kunitag baadaye [emoji4] nikupe nyingine.
Hii series tumeshaichoka sasaWapenzi wa money heist,, Netflix wamesema season ya 5 ndiyo ya mwisho, View attachment 1523132