Series (Special thread)

Nahisi huijui Jack Ryan maana season 1 ndo inadeal na anti terrorism but season 2 ni tofauti inadeal na mission nyingine kabisa na ndo kitu kinachoendelea duniani asa hivi nchi kubwa zinakimbilia amerika kusini asa nchi ya Venezuela kwa utajiri wa maliasili.
Kuhusu strike back ni nzuri kuliko zote sio kweli ingawa mim ni mpenzi wa strike back since day one mpka Leo nipo kwenye s08. Kikubwa kinachoibeba strike back ni action kuanzia mwanzo wa series mpka mwisho yaani kinachapika hadi raha na unaweza kuangalia strike kwa kumute sauti au mtu asiyejua kiingereza akaangalia Ila sio kama homeland, Jack Ryan, Fauda na zingine nyingi
 
Tunasubiri Dark season 3 wikiend hii
First German Netflix series
Kama bado hauja iangalia itafute
 

Kuna hii amazon original -scifi comedy- inayohusu dunia ambayo mtu kabla hajafa ana chance ya kuchagua wapi anataka kuishi baada ya kufa.
Kuna kampuni zinatoa hiyo ya kuwaupload wateja wao kwenye hizo virtual world na zina range kulingana na uwezo wako

Ni show moja so funny.Utaenjoy😄
 

Hii inahusu jamaa(liam hemworth) ambaye ni mgonjwa wa kansa,katika harakati ya kumuandalia familia yake anaingia kwenye game ambaye yeye anawindwa na watu na kila baada ya saa kupita hela inaingia kwenye account yake.

*Kila episode ina chini ya dakika 10,yah chini ya dakika 10 na ina episode 15
Kwahiyo ndani ya masaa matatu unaua season 1
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…