Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
Alafu kitu kingine hii issue ya kwenda kuiba kwenye huu mjengo haikuwa ya professor ndo maan mamb yao mengi yalifeli huu ulikua mpango wa berlinlabda kama nilielewa vibaya kwenye plan ya Berlin alisema gavana ni mtu mbishi sana sio mtu anayeweza kukupa ushirikiano kirahisi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro ukianza kuangalia hii season 1 unaona kwamba hii story tunasimuliwa na tokyo na wachambuz wa series dunian wanasema kwamba kwamba karibia genge lote la professor watukufa atakayebak ni tokyo peke yak ndo apo alikuwa anawasimulia polis mchezo mzim waliokuwa wanaufanya kwahiy hii money heist inawez kweny hadi season ya 8Netflix wanatabia ya kuua actors wazuri kwenye siries zao sijui kwanini, wameniuzi Sana walivyo muondoa Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na movie sio kipaji chako ..wewe nenda katazame kile kikundi chenu cha wacheza ngoma you tube ..tafuta ile gemu tunawalala nne bila angalia tenaNaombeni site ya ku download series wakuu
Nimejaribu kutumia Todaytvseries, niki click sehemu iliyoandikwa Download vinakuja vitu vingine (sijui ndio ads?)
Nipeni maujanja ya kudownload, hii Corona bila series maisha yatakuwa magumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu acha ufala bana ..apo ndani ya box utatoa ayo maembe sita utaweka kwenye Kila box lake. Then Kila box litakuwa na embe lake.Ndani ya box umeweka maembe 7 na ukatoa maembe yote ukaweka chini na pembeni kuna mabox 6 na yote unatakiwa uweke maembe je utaweka maembe mangapi kwenye kila box na hapo unamaembe 7?
Labuda kwa sababu Nairobi ni mji uliopo Africa wakaona unaleta jam sanaNetflix wanatabia ya kuua actors wazuri kwenye siries zao sijui kwanini, wameniuzi Sana walivyo muondoa Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Telegram kwenye pic unatumiaje bro. Si adi uwe na namba za simu?Pakua telegram kwenye pc yako then pitia hizo links nilizoweka hapo juu. Telegram ina downloading speed kubwa sana kuliko terent
App popcorn itafute Google search popcornTimeuptodown utaipat website kuna Theparasitebay.com na Magnetdl.comWakuu naomben site/ app za kudownload series nimehangaika bila mafanikio
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry! Ya pili ni walking dead!Nimeangalia series nyingi nzuri! Ila hizi ni nzuri zaidi!
Dexter
Salio dead -hususan S1-S7
Mandalorian
Treadstone
Money heist
The 100
Blacklist
Into the badland
Dare devil
See
Hanna
Travelers
Manifest
Queen of the south
The son
West world
Nakuahidi ukiziangalia hizi hupotezi muda wako bure! Utafurahia!
Tumia application ya telegram
Wakuu naomben site/ app za kudownload series nimehangaika bila mafanikio
Sent using Jamii Forums mobile app
Guys!!!Hii kitu hata mm nimejiuliza, series inakua kama ya kikorea sasas
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi.labda kama nilielewa vibaya kwenye plan ya Berlin alisema gavana ni mtu mbishi sana sio mtu anayeweza kukupa ushirikiano kirahisi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Westworld inahitaji utulivuGuys!!!
Hivi huwa mnatazamaje series!?
Mbona ukitazama kwa utulivu ni rahisi sana kujua kwanini jamaa hawakumtumia Gavana wa benki kujua ilipo Panic room.
Kama umetazama vizuri utaelewa kuwa Gavana ni mtu mwenye msimamo mkali, hayupo tayari kuwasaidia jamaa kukamilisha lengo lao (yaani yupo tayari hata kupoteza maisha), mara ya kwanza walijaribu kumuomba/kumlazimisha awasaidie kufungua "chemba" iliyokuwa na nyaraka za siri za Serikali lakini ilishindikana, tena ilibaki kidogo tu Gavana apoteze maisha.
Profesa alikuwa anajua kuwa Gavana hayuko tayari kuwapa ushirikiano, ndio maana aliamua kuumiza kichwa mwenyewe.
Kama series nyepesi kama hii inawashinda kuelewa, vipi mkitazama series ya Lost au series ya Westworld!?
Nadhani mtaishia njiani wazee!!!