Mzigo huo hapo, sema bado ni Spanish version, wenye English version ni episode moja mojaMoney Heist ipo hewani,wenye link zenu jamani tupieniView attachment 1407500
Sent using Jamii Forums mobile app
soma chini mwisho wa picha ilikuwa jana hiyo wamepost s1 mpaka 3 nimeweka notification ON maana nilimuteView attachment 1407291
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmejarbu kuingia na mimi, naona unazingua...
Duh.. Fanya hivi.. Nenda google ukasearch 1337xto.xyz
Hiyo ni app au browser? Naomba nielekeze nataka nishushesoma chini mwisho wa picha ilikuwa jana hiyo wamepost s1 mpaka 3 nimeweka notification ON maana nilimuteView attachment 1407291
Sent using Jamii Forums mobile app
kiukweli hii series nimeicheki juzi season 3 na nimeikubali sana. hii series imetulia sanaWakuu ule mzigo hatari wa Ozark season 3 hawajaangalia tatizo la Corona Wala nin umeshushwa wote ukiwa na episodes zote 10.
Kama hujaiona itafute kuanzia season 1 hautajuta maana humu Bateman kawa mwingine kabisa hadi utashangaa ni huyu comedian ama namfananisha
Ni nzuri mzee yaani uzuri uyo Bateman ndo producer na yeye ndo starring mwenyewekiukweli hii series nimeicheki juzi season 3 na nimeikubali sana. hii series imetulia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Io breaking bad mnaipaisha sana kuliko ilivo yenyewe...huwez ikinganisha na 24 ama preason break...
Io fargo sasaiko kawaida sana
Sent using Redmi7
Reddington haeleweki kabisa aisee.
Ngoja niendelee kuifuatilia, nimemaliza season 1, now nataka nianze kuangalia season 2.
Nitaendelea nayo mpaka ikitoka Money Heist season 3 ndio nitaiweka pembeni kidogo.
Tumia EZtv torrent haina usumbufu, quality nzuri unachagua ukubwa unaoutaka kulingana na urefu wa kamba yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaaah.Hyo kuanzia season 2 ndo utajua Red ni moto wa namna gani.. Kaboul.
Sent using Jamii Forums mobile app