Series (Special thread)

Ina maana wenzangu wa Soap opera na drama za marekani hakuna 🤓 zangu
SINGLE LADIES
THE HAVES AND THE HAVE NOT
IF LOVINGBYOU WAS WRONG
SISTAS
SCANDAL
STRIKE BACK
THE WOMAN OF THE SOUTH(ya kimexico ndo tamu)
POWER
 
Ina maana wenzangu wa Soap opera na drama za marekani hakuna
zangu
SINGLE LADIES
THE HAVES AND THE HAVE NOT
IF LOVINGBYOU WAS WRONG
SISTAS
SCANDAL
STRIKE BACK
THE WOMAN OF THE SOUTH(ya kimexico ndo tamu)
POWER
Tupo mkuu..

Ongeza na hizi
Ambitions
Why women kill
Cherish the day
Insecure
Green leaf
Saint and Sinner
The Oval
 
Hii series nimeona ikiwa inapewa sifa mara kwa mara humu jukwaani.
Sijaangalia series siku nyingi sana, wiki hii nimejikuta napata appetite ya kuangalia "intelligence/crime" series, nikajisemea moyoni ngoja nijaribu hii kitu.
Mwisho wa siku nimejikuta imeniteka vibaya sana.
Hii kitu ya kuitwa "The Blacklist" ni maana halisi ya neno "noma".
Raymond Reddington ametisha sana katika hii kazi.
 
Hiyo The wire mbona sjaskia ikitrend sana huku... au ni mpya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mchezo iyo kitu weka mbali na watoto yaani uyo Raymond hajulikani kama yeye staring au adui
 
Si mchezo iyo kitu weka mbali na watoto yaani uyo Raymond hajulikani kama yeye staring au adui
Reddington haeleweki kabisa aisee.
Ngoja niendelee kuifuatilia, nimemaliza season 1, now nataka nianze kuangalia season 2.
Nitaendelea nayo mpaka ikitoka Money Heist season 3 ndio nitaiweka pembeni kidogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…