Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Dah! Kuna mwanangu mmoja alikua hapendi kuangalia series kabisa ila nilipomshawishi aangalie Tyrant aisee alianza kuipenda ila ilipositishwa s03 alimind kinoma sana utafikiri alikua analipwa kila akiangalia.1. Tyrant
2. Prison break
3. If loving you is wrong
4. Power
5. Breaking Bad
6. 24
7. Game of throne
Nimeicheck Homeland seasons zote kasoro inayoendelea maana mi nasubiri season nzima iishe ndo nishushe mzigo wote.Mkuu season gani nyingine kali ya kijasusi ambayo unaifahamu nijaribu kui download leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia na Top Boy mkuu..ina season 3 hadi sasaIyo Narcos Mexico inahusu jinsi gani madawa ya kulevya yalivyokuja kuiteka soko la bangi na kuanza magenge ya madawa ya kulevya nchini Mexico. Mi nilishaiangalia season 1 na season 2 imeshatoka tayari.
Kiukweli series ya breaking bad ndo imenifanya nipende series za madawa ya kulevya kama:
1. Snowfall
2. El chapo
3. Queen of south
4. Narcos Mexico na nyingine kibao.
Shukrani mkuu kwa kunikumbusha nilisikia kuhusu hii kitu na kesho nitaishusha hii kitu yoteAngalia na Top Boy mkuu..ina season 3 hadi sasa
Nimeicheck Homeland seasons zote kasoro inayoendelea maana mi nasubiri season nzima iishe ndo nishushe mzigo wote.
Kuna series ya The blacklist wew download season 1 episode 1 uone unyama wa Raymond Reddington kabla ya kushusha mizigo mingine.
FBI inamtafuta the most wanted Raymond Reddington sasa jamaa anaamua kujikamatisha hadi FBI wanashangaa inakuwaje uyu mtu kajileta mwenyewe sasa hapo jamaa anaingia nao deal kwamba atawatajia blacklisters wote wanaoisumbua USA ila anataka katika iyo team awepo mdada mmoja ambaye ni mwanae ila uyo sister hajui chochote ila cha kushangaza inakuja kugundulika huyu si Raymond Reddington je huyu mtu ni nani? Na huyo dada mama yake alikua jasusi wa urusi ambaye alikua mpenzi wa Raymond Reddington wakati alipotumiwa afanye mission USA inasemekana amekufa ila kumbe yupo hai na je yupo wapi? Na huyo dada ambaye ni mtoto wa Raymond Reddington ana mume wake ila uyo mumewe ni hitman na katumwa ili amchunguze uyo dada je, katumwa na nani? Kuna jasusi mwingine yupo Russia ambaye anabeef na Raymond nae anasema uyo dada si mtoto wa Raymond bali ni wake je uyo sister ni mtoto wa Raymond au jasusi la kirusi?
Raymond ni mtu mwenye connections zote ndani ya USA na nje so ana mtu wa kufuta ushahidi akifanya tukio, ana accountant, ana bodyguard huyo hacheck kutoka Africa anaitwa Dembe So ni bonge la series ilo man na humo kuna mabeef kati CIA na FBI humo ni kama yote.
Anza na Tom Clancy's Jack Ryan then kuna Condor.. Zote kali, japo hiyo Jack ryan season 2 imepoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashingap nikupatie season03 ina Gb3 na point ni hd.Wakuu napataje locked up (Vis a Vis) season 3 & 4......
Nimejaribu kutafuta sana bado sijafanikiwa kuipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishushe mkuu, iko vizuri piaShukrani mkuu kwa kunikumbusha nilisikia kuhusu hii kitu na kesho nitaishusha hii kitu yote
Today TV's series , pitia Google itakupa urahisi wa kupata correct website yake maana zipo nyingi.
Yeah! Nimeshusha season 1 yenye episodes 4 so nikipata mda nitaishusha zingine maana kuna dalili za office kufungwa tukafanye kazi om kutokana na coronaIshushe mkuu, iko vizuri pia
24 kwakweli nimeshairudia kama mara 3!
Kitu ambacho 24 waliweza huwez kamwe kutabili tukio hata moja series ipo complicated sanaaaa nataman irudi Tena 24 legacy ilikuja lakn kuvaa viatu vya jack ndio kazi ipo
Ina Season 1 tu
Naombeni site ya ku download series wakuu
Nimejaribu kutumia Todaytvseries, niki click sehemu iliyoandikwa Download vinakuja vitu vingine (sijui ndio ads?)
Nipeni maujanja ya kudownload, hii Corona bila series maisha yatakuwa magumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh,hiyo "The americans" nimeangalia episode 5 naona imepoa sana!Naona kama haina story ya kueleweka!My Best TV Series of all time. Utakuja kunishukuru.
1. Breaking Bad
2. Homeland
3. The Wire
4. Game of Thrones
5. Sons of Anarchy
6. The Americans
7. 24
8. House of Cards
9. Sherlock
10. Ozark
11. The Killing
12. Fargo
13. Vikings
14. The Handmaid's Tale
15. The Walking Dead
I'm the number one fan of drama, crime and mystery series. You will never be disappointed with my list.
Sent using Jamii Forums mobile app