The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,580
Ogopa matapeli wanao kudanganya kwamba Homeland ni series mbovu. Kwangu mimi homeland ni series bora baada ya Breaking Bad, Game of Thrones na The Wire.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaejua series kali yenye story nzuri kama Vampire diaries au originals anisaidie please..nipo saivi dukani
note: GOT,24,strike back,money heist, prison break,breaking bad...nishaziona
Ilisitishwa palepale season1Msaada kwa mwenye link ya series ya Traveller 2008,,,ile ya zaman ya wale madogo waliohisiwa kuwa walilipua bomu kwenye jumba la makumbusho
Mkuu jaribu kuitafuta www.O2tvseries.comMsaada kwa mwenye link ya series ya Traveller 2008,,,ile ya zaman ya wale madogo waliohisiwa kuwa walilipua bomu kwenye jumba la makumbusho
Yes, ilisitishwa baada ya season 1
Shukrani mkuu!! Acha nifanye hivyoMkuu jaribu kuitafuta www.O2tvseries.com
Au njia ya pili nenda google andika " download Traveller season 1 index " kama ipo itakuletea link mbali mbali anza kufungua moja moja utaipata, kukitaka season two hapo kwenye season 1 unaweka season 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu!! Acha nifanye hivyo
Kwa upande wangu, homeland ni mbovu kuanzia season 1-3. Ila baada Sergeant Brody kufa ndo series ikanoga. Ukiangalia season 4-7 utaona utofauti mkubwa sana. Ni the best show kwenye hizo seasons. Hatari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ogopa matapeli wanao kudanganya kwamba Homeland ni series mbovu. Kwangu mimi homeland ni series bora baada ya Breaking Bad, Game of Thrones na The Wire.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kweli watu tunatofautiana sana kwangu mimi ni one of the best series.
Sent using Jamii Forums mobile app
niliangalia season 1 complete ila ilinishinda kuangalia the next season
niliangalia season 1 complete ila ilinishinda kuangalia the next season
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mkuu season gani nyingine kali ya kijasusi ambayo unaifahamu nijaribu kui download leoKweli tunatofautiana.. Mi homeland ilinikamata mpaka nikaianza upya, ile series kali sana labda sio mpenz wa mambo ya ujasusi, kuna The Americans pia napanga niirudie tena pamoja na Breaking Bad
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo Narcos Mexico inahusu jinsi gani madawa ya kulevya yalivyokuja kuiteka soko la bangi na kuanza magenge ya madawa ya kulevya nchini Mexico. Mi nilishaiangalia season 1 na season 2 imeshatoka tayari.Kwa ambao hajaiona NARCOS MEXICO.. HII NA ILE YA NARCOS YA PABLO NI MBILI TOFAUTI..
Link ya ku download
https://medeberiyaa.com/index.php/n...W7P09G86IDuRL-3dMtGcZXbeWm5hBQ2s4pQp0CUf1w1jw
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ilisitishwa kuonyeshwa tena?Msaada kwa mwenye link ya series ya Traveller 2008,,,ile ya zaman ya wale madogo waliohisiwa kuwa walilipua bomu kwenye jumba la makumbusho
Mkuu season gani nyingine kali ya kijasusi ambayo unaifahamu nijaribu kui download leo
Sent using Jamii Forums mobile app