donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
Acha kabisa mkuu. Unakumbuka walivyomuua renee walker? Alishikwa na hasira za hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Scene ambayo sitaisahau ni ile alivyogundua jasusi la kirussia linemeza chip ya simu yenye ushahid,Jack Baeur hakuwa na muda wa kupoteza!Alimchana tumbo na kuanza kutafuta hiyo chip kwenye utumbo mwembamba mpaka akaipata,daaaah hii series naweza kuirudia hata mara 10!
Sent using Jamii Forums mobile app

