Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 15,859
- 36,165
Iko njema iyo kitu Sema lakn inachanganya kinouma lakn kama unapenda series za vipepeo weusi ma spy hapo ndo mahara pake na kama umezichek movie za Jason Bourne za mtaalam Matt Damon utainjoy Zaidi
Napenda ka kipengele ka "let's pray" yule queen ni mwehu
Ooooh Professor kadakwa nn 🤔🤔🤔Watu wa Money heist kuna leaked photo zimetoka huku...View attachment 1339865
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua aisee labda atatunguliwa au atafake ngoja tuoneOoooh Professor kadakwa nn![]()

Duu ngoja tusubil tuone ila sizan professor anaweza kufa kirahisi nazan anaenda fake kifo kama Michael scofield
Wale ni ant christ siyo bureNapenda ka kipengele ka "let's pray" yule queen ni mwehu
Kwa akili za huyu jamaa najua lazima atakua anawazuga wale askari. Le Proffesor hawezi kufa wakati bado tunamdaiWatu wa Money heist kuna leaked photo zimetoka huku...View attachment 1339865
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu proffesor bado ajatupa picha kamili so next season atakuwa n technique kali sanaKwa akili za huyu jamaa najua lazima atakua anawazuga wale askari. Le Proffesor hawezi kufa wakati bado tunamdai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu cheki Designated Survivor ni balaa na robo tatuWakuu naombeni series inayohusu siasa, ujasusi hata crimes ambayo ni latest..
Kwa mara ya kwanza nimekosa kabisa series ya kuangalia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu kaniambia si mchezo so nishaishusha season 1 yote nasubiri weekend maana hakuna premier league nikae nicheck yoteKama umekosa kitu cha kuangalia Kwa muda huu
Jaribu kuichek ii kitu hutojuta
View attachment 1347186
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama umekosa kitu cha kuangalia Kwa muda huu
Jaribu kuichek ii kitu hutojuta
View attachment 1347186
Sent from my iPhone using JamiiForums