Series (Special thread)

Series (Special thread)

Umeonae? Ni balaa mzee baba. Kwa mara ya kwanz sbu nina bando la kutosha heb ngija niijarib breaking bad naona mnaisifia sna
Mkuu ww sio wa kuacha kuangalia Breaking Bad! Season 1 itakuchosha, ila kuanzia last 2 episodes na season zinazofuata believe me hutaiachia kamwe!

It is the best real!
 
Ha ha ha.. lazma uwe makini wakat unaangalia hii k2 il kuielewa vzur....mwenyewe nmeangalia ep1 to 6 mara 2 ndo nmeilewa vzuri...
Iko poa sana bro
Taatizo lake ni parts ni nyingi mara north korea mara russia mara china mara france mara ghana mpaka mtazamaji anavurugwa

Au labda kuna muungaaniko wa matukio baaadae
 
rafael-amaya-346x188.jpg

Mnyama mwenyewe,Lord of the skies
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom