Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,554
Tofauti na 24 hrs n Designated surviror ni Series gani nampata Jack Bauer?
He is my favourite guy!
Naamini Yote yana connection huko mbele!
Nina siriz mbili hapa.. Marvel's Agent of shield na Designed Survivors. Kati ya hizi mbili ipi nianze nayo...?Taatizo lake ni parts ni nyingi mara north korea mara russia mara china mara france mara ghana mpaka mtazamaji anavurugwa
Au labda kuna muungaaniko wa matukio baaadae