Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hawezi kufaa ghost aliandamwa sana na matatizo kushutiwa kwakenahisi ndio itakuwa njia ya kumsafisha zaidi yana baada ya hapo atatoka akiwa clean sanaa
Hope iwe hivyo,,maana jamaa kaitendea haki sana,, sema ndio hvyo inaenda break hadi january
 
Dah hi inaonekana Kali sana mi niliangalia how I met your mother mpaka ikanishawishi niangalie comedy series zengine nakumbuka nikachek everybody hates Chris da kitambo ...nikipata muda wa kutulia ngoja nichek na hii vipi iko poa!?

Nimetafuta comedy kali ambayo inaizidi everybody hates chris sijapata!!! Hio HIMYM nimecheck pia ila EHC zijaona wakumzidi!
 
Hope iwe hivyo,,maana jamaa kaitendea haki sana,, sema ndio hvyo inaenda break hadi january
Hii post inaonesha kama vile jamaa kaaga hatarudi kwne episode za mwsho
Screenshot_20191104-200314.jpeg
 
Nimetafuta comedy kali ambayo inaizidi everybody hates chris sijapata!!! Hio HIMYM nimecheck pia ila EHC zijaona wakumzidi!
Yap ni kali ila naamini zipo zengine kali ila Itakuwa unazikubali black American movies
 
Wale wanapenda drama za Tyler perry kuna hizi

Sistas
The Oval

Zina story nzuri

Pia kuna za kiintelegensia

Treadstone
Stumptown
Mama a nimetoka kuangalia hiyo The oval ni kichefuchefu unaweza ushindwe kumaliza kuangalia. Utasema bongo movie.
Na hiyo sistas na uhakika na yenyewe ni mbaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom